Mkuu Loth Hema unajipa matumaini hewa na inaonekana husemi Trends za kisiasa za Tanzania.CCM isidhani kwamba haitatikisika, kwamba imezoea mitikisiko na iko imara. Safari hii inakwenda kuparanganyika bila kupenda. Mambo ni mengi nje na ndani yake, kuna kesi ya Lissu na viambata vyake jumuiya za kimataifa, halafu tena Nchimbi? Muziki unazidi kuwa mnene miaka minne ni mingi sana badiliko lolote linaweza kutokea, ngoma inogile, hakuna marefu yasiyo na mwisho. Zama za CCM kusambaratika zimewadia, kuna mtu CCM inamfia mikononi mwake whether kwa kupenda au kutopenda
Huenda ikawa hivyo, ngoja tuone watakayoyaleta kufikia Ijumaa hiiNami nimewaza hivyo,ama mbowe atakua sehemu ya so called maridhiano.
Acha UjuajiNguvu ya Rais ni kubwa Mkuu.
Kauli yake ni amri.
Huwezi shindana naye kwa waziwazi labda kama umeamua kushindwa.
Kwa lugha nyepesi ni Rais mwenza.Makamu wa Rais ni zaidi ya msaidizi wa Rais.
Makamu wa Rais ni mbia wa Rais. Ana ubia katika urais kwa sababu kikatiba anachaguliwa pamoja na rais.
Tofauti na PM ambaye anateuliwa tu na Rais, na hivyo anaweza kuondokewa saa yoyote na Rais..
Makamu wa Rais hateuliwi na Rais, anachaguliwa na wananchi siku moja anapochaguliwa Rais, at least in principle.
Huelewi wapi hapo kuwa huyu si msaidizi wa rais tu kama PM?
Hapana, si kweli, hii ni hoja ya kuungaunga.Nchimbi hajachaguliwa na wananchi, alichaguliwa na ccm ndipo wananchi mkampigia kura kwa mgongo wa samia.
Mfano kipindi cha JPM, samia hakuchaguliwa na wananchi ila alipita kwa mgongo wa JPM
aje asimame kwenye haki. wazanzibari wamewanyanyasa sana waTanganyika. kwenye katiba Mpya atapata nafasi kati ya zile KUU. Tundu Antiphas Lissu akiliongoza Taifa kwa weledi na mafanikio makubwa. wote tuseme Amina.Zile speech zake za mabadiliko tena mbele ya camera zinaendana na kauli za Lissu za kukinukisha...ni kauli fulani ambazo unaona kama muhusika alifanya kusudi ili mchoro fulani ukatimizwe.
Nina shaka makamu ni mgombea 2030 (iwe kwa upinzani ama huko huko ccm)tukiwa hai.
View attachment 3656558
Toka Brasil Brazil hadi Tanzania jinsi wawili hawa Emmanuel Nchimbi na attaché Suleiman Mombo kusuka mitego Samia ajitege kwenda ICC
TOKA MAKTABA:
Kaimu rais mtarajiwa Emmanuel Nchimbi, Suleiman Mombo DGIS TISS wameona jinsi serikali dhalimu za latino Amerika zinavyoshughulikia wapinzani. Wameona na kujifunza vikosi maalum vya paramilitary vinavyoendesha operesheni haramu za kuua kwa makundi wapinzani wa serikali za kudikteta.
Yumkini tuliyoyaona kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 hadi 04 November 2025 viikosi vya wadunguaji vilivyovaa mabaka mabaka na tisheti nyeusi vikirandarana kuwavizia, kuwawinda, kuwapiga risasi mamia ya vijana ni yale waliyoyaona wakiwa Brazil na kuyaleta katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza n.k ambapo miili mingi ya watu waliopigwa risasi gizani ilionekana kutapakaa katika taifa la Tanzania
.PICHA TOKA MAKTABA :
Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais
![]()
2015 21 September
Dodoma, Tanzania
CCM wakiimba --Tuna imani na LowassaCCM mbele kwa mbele. Kingunge akiwa Arusha.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xAq-winQLtU
11 Julai 2015
Dodoma
NCHIMBI - KUKATWA KWA LOWASSA
View: https://m.youtube.com/watch?v=vX_orcX9k2Y
Rais hana mamlaka ya kubadili makamu wa Rais.Ni baada ya kubaini kuwa rais anararajia mabadiliko i.e baada ya kubaini kuwa rais hamhitaji Nchimbi.
Hopa ile safari alipomtembelea Kikwete, mzee yule ni mnafki sana. Itakuwa kamshauri ajiuzulu tu.
Sasa hiyo habari yako maana yake nini kwenye maongezi haya?Wanasemah
Wanasemaga kabla hujaingia kwenye maji kuvuka mto unadumbukiza fimbo kuona kina kwanza.
zile damu zilizomwagika Oktoba 29, 2025 haziwezi kuiacha serikali haramu salamaMaswali ambayo najiuliza.
Ni trick ipi waliyotumia kum force Nchimbi mpaka kuachia ngazi?
Maana huko nyuma kumekuwa na tetesi za Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.
Je usalama wake ulitishiwa? Au pengine ameamua kukubali kwa lengo la kulinda familia yake kwasababu ni easy target?
Kwasababu hili swala ukilitafakari kuwa ni maamuzi ya hiari, hali make sense kabisa.
Dunia nzima 98% tunaongoza sisi wanaume lakini still rushwa ufisadi, mauaji vipo itoshe kusema kiongozi bora hiahusiani na jinsiaHuyu mama amewaangusha sana wanawake wenzie. hata zile kelele mara wanawake tunaweza mara sjui nini hazisikiki tena kwasasa, coz Boss ashayatindinganya mambo. Nilipatapo kumsikia mwanamama mmoja akisema Kutokana na jinsi anavyoongoza haamini tena kama wanawake wanaweza kuongoza madaraka makubwa kama Urais
BINAFSI NADHANI HATA HUKO MBELE YA SAFARI KAMA AKIJA KUTOKEA MWANAMAMA AKAGOMBEA URAIS, HATAMTUMIA HUYU BIBI KAMA MFANO AU ROLEMODEL WAKE.
Nchimbi na samia hawakugombea urais pamoja mana samia alipitishwa kihuni.Hapana, si kweli, hii ni hoja ya kuungaunga.
Hoja ya laichagukiw ana CCM hata Samia alichagukiwa na CCM kama unataka kuamini hoja hii.
Hoja ya "wananchi wakampigia kura kw amgongo wa Samia" ni potofu. Samia na Nchimbi waligombania u Rais na u Makamu wa Rais pamoja, as a ticket. Kama unaongelea habari ya mgongo, wote wawiki waligombania nafasi zao kwa mgongo wa CCM.
Ukisema Nchimbi hajachaguliwa na wananchi kwa sababu uchaguzi uliharibiwa, nitakuelewa.
Lakini ukisema Nchimbi hajachaguliwa na wananchi kwa sababu hizi ukizotoa, naona unakatakata viuno tu. Huelewi dhana ya running mate. Huelewi dhana ya ticket.
Yani Tanzania mmempa rais nguvu hata ambazo hana kikatiba. Kwa kumuabudu tu.
Tukiondoa matatizo ya uchaguzi kutokuwa huru na haki na hivyo uchaguzi wote kuwa na doa, na tukichambua mfumo wa uchaguzi wa Tanzania in the abstract, kidhahania, Makamu wa Rais na Rais wanachaguliwa kwa kuwa kwenye ticket moja. Siku moja. Pamoja.
Kuna watu kibao washabiki wa Nchimbi wameichagua tiketi kwa sababu ya Nchimbi, wala si kwa sababu ya Samia.
Na hata kama uchaguzi ungekuwa wa huru na haki, hakuna njia ya kujua hao ni wangapi, kwa sababu mgombea urais na umakamu wa rais wanachaguliwa pamoja.
Sasa hapo utasemaje Nchimbi kachagukiwa kw amgongo wa Samia wakati kuna watu wameichagua hii tiketi kwa sababu ya Nchimbi, si kwa sababu ya Samia?
Kimsingi pale unapopiga kura humchagui Samia wala Nchimbi unawachagua wote. Kwa pamoja.
Hivyo ndivyo mfumo wa mgombea mwenza unavyofanya kazi. Ika Watanzania wengi hawajui hili.
IWatanzania wengi hawajui hilo, wanaona wanamchagua Rais, Makamu wa Rais ni sideshow tu.
Ndiyo maana Magufuli alivyofariki, watu waliooambiwa hatuhitaji kufanya uchaguzi tena, tulishamchagua Samia kama mgombea mwenza na Makamu wa Rais, huyu ndiye anakuwa Rais, waliona kama Samia anakuwa Rais bila uhalali.
Tanzania Rais anachaguliwa na Makamu kwa pamoja, as a ticket, mbona hamuelewi hili jambo jepesi tu?