Haujaelewa nini ?Ndio umeongea nini sasa
Mkuu kwani kifurushi vya TTCL vipojeHalotel wakirekebisha tujuzane nijue leo naenda town kusajili TTCL au laa
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Andungulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Mbona mm nimemuelewa mkuu una kichwa chepes Sana mkuuNdio umeongea nini sasa
Mtandao gani?Tayari
Anasema hizo bei ni elekezi....Ndio umeongea nini sasa
Mbona ameelewekaNdio umeongea nini sasa
Kubadilisha na compiling mistari michache ya code siku nzima?Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Programming gani zipo slow hivyo Mkuu ina maana tupo nyuma kiasi hicho daah...Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Monopoly na mawazo ya siasa za ujamaa kwa serikali yoyote huwa mwishoni hazileti tija na maendeleo. Mifumo, sheria thabiti, na regulatory entities makini ni moja ya vitu vitavyotusaidia kupiga hatua mbele zaidi, badala ya kuendelea kukumbatia mawazo, na siasa za ujamaa zilizoshindwa kitambo duniani.Kwanini tusiwekeze kwenye Ttcl yetu bhanaa tuiudumie kupitia budget yaetu ya serikali tutimue ma kampun yote haya kichef chef