Kuhama vodacom haiwezekeni...mpesa ndio inaaminika kuliko kina tigo...4G iko fresh...kwanini tuhame?..wapunguze bei hatutaki kukimbia tatizo
 
Mkuu Mimi nimeshapost thread nyingi za hii kadhia ya vifurushi na kuuliza swali hilo hilo kwamba inakuwaje serikali inaongea na hatuoni utekelezaji? Mpaka nikasema kiboko yao alikuwa yule kichaa msukuma neno moja tu kila kitu kinakaa sawa wee Enzi ya makufuli tungehamishiwa TTCl wote na hawa wasiosikia serikali inasemaje wakapigwa ban huyu Ndugulile angebaki na ubunge tu...kila MTU ana ubaya wake ila kuna mambo tutamiss mzee sana kwakweli eti umwambie liko kwenye mchakato sijui nn anakupa jb moja tu...mchakato ukaufanye kitandani na mke wako tupishe unademotiwa faster halikuwa jambo zuri lkn kwakweli lilifanya kazi ikawa faster na kuheshimu kazi.....We will miss you mzee.

TUTA MMISS MZEE WETU.! CHUMA
 
Back
Top Bottom