India yapanga kuyapiga Marufuku makampuni ya Simu ya China yanayouza simu za bei nafuu nchini humo

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Serikali ya India inapanga kuyapiga Marufuku Makampuni ya Simu ya China ambayo yanauza simu za Bei Rahisi ili kuruhusu Makampuni ya ndani kuweza kufanya vizuri.

Makampuni yatakayoathirika na zuio Hilo la kuuza bidhaa zake nchini India Ni Xiaomi,Oppo na Vivo.

Serikali ya India inayashutumu Makampuni hayo kwa kutumia ruzuku inayotolewa na Serikali ya China kwa kuuza simu kwa Bei ya Chini na hivyo Kampuni za India zisizo na ruzuku kutoka Serikalini kushindwa kushindana.

Kwa mjibu wa THE INDEX,Bei ya Simu za Kichina nchini India Ni Rupia 12,000 Sawa na Dolla 150 za Kimarekani. Endapo agizo Hilo litapita na kuwa Sheria,Makampuni hayo yatapoteza 75% ya mapato Yake kila mwaka.

Kampuni ya Oppo pekee yake iliuza jumla ya Simu Milioni 620 nchini India Pekee na Simu Milioni 900 Duniani kote.

The aim is to push Chinese giants out of the lower segment of the world’s second-biggest market to help local industry.
India aims to restrict sale of Chinese cheap smartphones: Report
 
Wataweza kushindana na Wachina katika teknolojia na cheap products Kama simu ?
 
Makampuni yote binafsi ya China yana hisa za serikali ya China. Sio rahisi kushinda nayo
 
Back
Top Bottom