Kulikoni mods narudi nimekuta moja ya post yangu ya kumjibu mtutura imefutwa na huyo bwana keshakula ban.

Jamani wengine tushakuwa veterans humu ndani tushazoea kutukanwa na kutoa vidonge; mtu akizidi mmetupa tools za kuwekana kwenye ignore list; either unaweka au unawekwa.

Let the forum flaw sometimes it’s for those with hard skins; ukiona unajibizana na mtu kazidi matusi provided wewe uvunji sheria mmeshatupa option ya ignoring the person; sasa what’s the problem.

Magufuli forever pamoja na mapungufu yake wengine atutovumilia atukanwe bila ya kutetewa kamwe come rain or shine.
 
Hivi ingekuwa ni mpinzani anatafutwa na mahakama, polisi wangesubiri usumbufu wote huo?
 
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.

Huyo mama atetee kiongozi dhalimu wa aina ya Makonda? Eti Magufulist hawampendi, hilo kundi la wauaji hata msipompenda anapoteza nini?
 
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Utumishi una ethics zake sasa kama alienda against ethics aachwe.

Awamu ya 5 ilijaa ukurupukaji kuanzia juu hadi chini.
 
Subiri kidogo, si kawaida ya mahakama kukurupuka, anachokifanya makonda watu wengi jeuri hufanya hivyo lkn mahakama ulazimika kufuata sheria.
Hulazimika kufata sheria dhidi ya nani? Leo hii kaandikishe hati kuwa RC kakuchomea kibanda chako halafu uone kati yako na RC nani atakuwa na nguvu mahakamani
 
Recently, Mahakama imetangaza kuwa Paul atafutwe kila kona ili afike mahakamni kujibu mashtaka.

Bashite anaelewa vizuri kuwa anahitajika court, lakini ameamua kuchill mahali bila kuitikia wito.

Sasa sijui, ni technique anafanya ili imsaidie kujipanga kila kona inayomzunguka ili akienda court awe full nondo...

Muda mwingine unajiuliza maswali kama haya:

Amekimbia nchi?

Au ni ile haiba yake ya dharau, ana dharau hadi wito wa koti?

Au anayapanga vizuri na wakuu huko ili alegezewe kidogo pigo lake?

Au Anaogopa kwenda court kwa kuwa anajua atapoteza kesi?

Mawazo yenu wakuu...
 
Muda utasema.kila mtu atapata hukumu sawasawa na matendo yake ili litimie lile andiko la kila goti kupigwa na kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
 
Ukitaka kujua kwa nini magufulists hawampendi samia ni kwa mambo kama haya. Wapwani ndio wafanyaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Mama anaacha aliyekua mtumishi mwakilishi wa rais mkoa wa dar kunyanyasika na kubakia katika hali ya mashaka kwa kazi aliyofanya kupambana na dawa za kulevya. Ni kisasi tu wala sio lingine.
Na ona umesahau kuliorodhesha na lile la clouse
 
Paulo Makonda, kiongozi wa serikali aliyekuwa anatamba sana kuwa yeye ANAKULA RAHA SANA kuliko wengine ametoweka.

Ametafutwa kupewa summons ya Mahakama ya Kinondoni bila mafanikio, haijulikani kama kajificha kwa mganga wa kienyeji au kavuka mipaka na kukimbilia nje ya nchi?

Na kama kakimbilia nje ya nchi jee kwa njia halali au za kihalifu? Maana kama mkimbizi haiwezekani kwani hana sifa hizo bali sasa ana sifa za mhalifu. Hapo ndio serikali itakapo pata fedheha kwani kiongozi mhalifu (jambazi) na haikuchukua hatua mapema.

20220209_085559.jpg
IMG-20220208-WA0007.jpg
 
Paulo Makonda, kiongozi wa serikali aliyekuwa anatamba sana kuwa yeye ANAKULA RAHA SANA kuliko wengine ametoweka.
Ametafutwa kupewa summons ya Mahakama ya Kinondoni bila mafanikio, haijulikani kama kajificha kwa mganga wa kienyeji au kavuka mipaka na kukimbilia nje ya nchi...
Amesaidiwa kutoroka na serikali hiyo hiyo Hanghigher asingekubali kipenzi chake atafunwe! Discrimination- Sabaya alishughulikiwa na serikali- Makonda analindwa na serikali.
 
Huyo itabidi akimbilie kijijini kwao akajifiche, aliharibu hadi wamarekani wana hamu naye.
 
Back
Top Bottom