Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Ni tukio la kihistoria.

Wapiga kura kutoka majimbo ya Iringa mjini, Tarime mjini, Tarime vijijini, Bunda, Hai, Kawe na Kibamba bila kujali itikadi " watajikuta" wamekutana katika mahakama ya kisutu kusikiliza hukumu za wabunge wao.

Tunamwomba mwenyezi Mungu haki ikatendeke mahakamani pale.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
HAKI iwe ni pamoja na washitakiwa kutiwa HATIANI

Aamin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!
Sasa kama aliyemuua mnamjua si mkafungue shauri mahakamani.

Hukumu ya kesi ya leo sio ya mauaji bali ya maandamano kinyume na taratibu kupelekea kifo cha Akwilina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna unachokijua wewe,kama aliesababisha ki ukweli ni mkurugenzi wa uchaguzi yaani Tume,wangetoa barua mapema kama walivyowapa ccm yangetokea ya kuandamana

Sent using Jamii Forums mobile app
acha ushabiki wa kijinga wewe mkurugenzi ndiye aliye andamana? hao wasio na akili timamu na akili za kushikiwa ndiyo chanzo wasingeandamana nani angekurupuka kupiga risasi hovyo hivi unaakilikweli mpaka unasema mkurugenzi? naona unafikiri kwa kutumia makalio
 
hakuna aliyeandamana. Ebu define kuandamana.... tukiwa tunatoka uwanja wa taifa baada ya mpira kuisha huwa watu wanaandamana?
 
acha ushabiki wa kijinga wewe mkurugenzi ndiye aliye andamana? hao wasio na akili timamu na akili za kushikiwa ndiyo chanzo wasingeandamana nani angekurupuka kupiga risasi hovyo hivi unaakilikweli mpaka unasema mkurugenzi? naona unafikiri kwa kutumia makalio
Chanzo kilichofanya waandamane nini haswa wewe mwenzetu mwenye akili timamu tusaidie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mahojiano na Ayo tv, Mh Mnyika anasema anatamani hukumu ingemuhusu aliyemuua Akwilina. Yawezekana ye anamfahamu. Lakini asichojua Mnyika ni kuwa kama serikali isingefanya inachotaka kukifanya leo dhidi yao, kina Akwilina wengi wangekufa. Ni kama ilivyotokea Arusha 2010 baada ya uchaguzi wa meya.

Asichojua Mnyika ni kuwa serikali hii inaongozwa na mtu makini, na ndio maana toka Magu aingie hatujasikia vifo vya waanadamanaji kama ilivyokuwa miaka iliyopita. Serikali hii inadeal na chanzo cha tatizo maana ingekuwa inashughulika na tatizo tu hadi sasa tungesikia vifo vingi.

Wao ni chanzo cha kifo cha Akwilina, wao ni chanzo cha vifo vya watu kule arusha na maeneo mengine nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Instagram media - B9i3fKMHpG1 ( 800 X 640 ).jpg
 
Mimi naomba Mbowe aachiwe huru ili watapopigwa kwenye uchaguzi wasilete visingizio

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiombe aachiwe huru maana hana kosa, ww mshauri jiwe tu aachane na matumizi mabaya ya madaraka, na kuchafua mahakama kwa kuziagiza kuendesha kesi za kipuuzi dhidi ya wapinzani wake, aache kuwe na tume huru ya uchaguzi kisha aje achukue mrejesho baada ya uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom