Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️

Magoli matatu si mchezo!
Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama Azam? 🤭

Ulikuwa unashindania kombe gani hasa? 😄

Mimi napenda mechi zenye magoli mengi, zinakuwa na burudani muda wote

Wewe je? 🤪⚽️

Weekend inaishiaa
ShesRise_1 ✋️
Sina Raha hapa, nipo nakunywa pombe ka pub.
 
Jibu tayari liko hapo kuwa tulimani Yanga kwa vile tuna ishu naye siyo kwa sababu ni dhaifu maana kwenye NBC tuliashamaliza nao nafasi pekee ya kukutana naye ilikuwa hii lakini ndiyo hivyo Azam kamuokoa.
Sasa kama mlishamalizana NBC Huku pengine mlitaka muonyeshe nn tena ambacho kwenye NBC hamkuonyesha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom