ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,879
- 39,960
- Thread starter
- #81
😅😅😅Kuitika kwake ni kesho asubuhi
😅😅😅Kuitika kwake ni kesho asubuhi
Aaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)Una no yangu kwani we mwana Manchester 😅😅
Nipigiee
Mimi pia Man UAaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)
Wewe timu gn huko majuu?
Karibu chama limefufuka mkuu,wafanye usajili sasa ili tuwe hatari ulayaMimi pia Man U
Hisia tu zimekutosha kua mie rafiki mwema 🤗🤗 una hisia kaliii😎Aaah ningekuwa nayo ningekupigia wallah! (Nimehisi wewe ni rafiki mzuri,mwema)
Wewe timu gn huko majuu?
Kwani sio uzi wa sports 😆😆Mbona huu uzi upo kwenye jukwaa la sports badala ya MMU sijui🤣🤣
Haya sawa.Hisia tu zimekutosha kua mie rafiki mwema 🤗🤗 una hisia kaliii😎
Majuu ni Liverpool 🥰
Tutanyanyuka tena 💪Haya sawa.
Mmmh majogoo wanaanguka,hata wachezaji wanakimbia timu
Lete hayo makaratasi usije kuyamwagia pombe ewe mwana jangwani ulieshindwa kutupia goliPesa makaratasii
😁😁
Sasa unataka game simple, magoli rahisi?Walau hilo linalopatikana kwa mbinde watasema game ilikua tafuuuuu sana🏃♀️🏃♀️
Bhna mi nataka game iliyosheheni ubunifu 🔥🔥🔥Sasa unataka game simple, magoli rahisi?
Muwe mnatoa location mkiwa mnaliwa tuje tule Chabo.Na bila mashabiki team inakosa vibe
Weka humu 🗑Muwe mnatoa location mkiwa mnaliwa tuje tule Chabo.
Ishi humo⚰️Weka humu 🗑
JESUS unazeeka vibaya haya rudi kuleeLengo ni comment huu uzi nifungwe siwezi sitauingia mtego huu kamwe