Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,086
- 54,957
Nyama kwa nyama kitu raw.Mzigo gani tena? 😹
Em waungwana tuwe tunaelekezana isije kuwa huu mzigo wa vijora unaliwa afu mi sijui..!! 😹😹😹
Nyama kwa nyama kitu raw.Mzigo gani tena? 😹
Em waungwana tuwe tunaelekezana isije kuwa huu mzigo wa vijora unaliwa afu mi sijui..!! 😹😹😹
Ndo kusema hujui jamani. 🤣🤣Kwanini sasa 😅
🤣🤣 ndo kusema unanijulia ivo?Kuitika kwake ni kesho asubuhi
Hapana ila ni nadra kuonekana🤣🤣 ndo kusema unanijulia ivo?
HapanaMtani umeanza?
Kuna nini kwani???
Mechi zenye magoli mengi ndiyo nzuri...Kuna nini kwani???
🤣🤣Kama mpaka unatumia neno Ufanisi basi wewe utakuwa TAMISEMI wazee wa madokezo
Hivi unajua leo ndio naona quote yako hongera kwa ubingwa mtanii👏👏Nipo Mdogo wangu hali ilikuwa tete bana jana. Lol.
Nilinenepa ila hapa najiona kabisa sina muda nitaanza kuchonga. 😅
Lol. Usijali Mtani.Hivi unajua leo ndio naona quote yako hongera kwa ubingwa mtanii👏👏
Ila ubingwa wenu ulipooza mnoo🤣Lol. Usijali Mtani.
Yaani ubingwa tunao na tunatamba nao. 😅😅