uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,383
- 30,643
Nimecheka sana.
Piga kwenye kichwa bado wanapumua.
🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka sana.
Uwanja ukiwa mbovu game inakosa mvuto aiseeAisee kama football pitch iko vizuri hadi ma4 ila kama ni wa Jenerali Isamuyo kimoja chaliii
Akinyanyua kicwa namalizia🤣🤣Nimecheka sana.
Piga kwenye kichwa bado wanapumua.
🤣🤣🤣🤣🤣
We mchokoziUwanja ukiwa mbovu game inakosa mvuto aisee
Yanga tuna deni nao tumewaandalia kitu ambacho wasingekisahau kwa muongo mmoja basi Azam amewaepushia dhahma.Kwamba, kwenu nyie simba n kushindana na Yanga tuu na sio kushindana na timu bora?
Nimefanyaje mkuu😁We mchokozi
Diara alitakiwa asuse na atoke nje baada ya Bacca kusababisha goli la tatu.Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️
Magoli matatu si mchezo!
Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama Azam? 🤭
Ulikuwa unashindania kombe gani hasa? 😄
Mimi napenda mechi zenye magoli mengi, zinakuwa na burudani muda wote
Wewe je? 🤪⚽️
Weekend inaishiaa
ShesRise_1 ✋️
Damu damuHuyu ni utopolo nae 😀😀
So ishu n muda wa kufunga magoli na sio idadi ya magoli mana muda ukiwa mrefu ndio wachezaji wanafurahia 🔥Jiulize kwanini mchezo una dakk 90 na nyongeza juu hii ni kutaka mchezo unoge na kuonesha ufundi wa wachezaji wa pande zote mbili
Magoli makalii ya kideoni kama lile la chama linaitaji mwili upate moto mchezaji aingie mchezoni ndio afunge
Sasa akifunga haraka kwa dakk 2 ya mchezo unamalizika hata 🍿 haijaisha inakua sio ✋️
Angesusa tumuoneshe namna ya kuongeza goli la 4Diara alitakiwa asuse na atoke nje baada ya Bacca kusababisha goli la tatu.
Na hasa ukiwa umejaa maji ni mwendo wa kuogelea kama chura hadi bao la 1 utaliona halina thamaniNimefanyaje mkuu😁
Hujajibu swali mkuuYanga tuna deni nao tumewaandalia kitu ambacho wasingekisahau kwa muongo mmoja basi Azam amewaepushia dhahma.
Pole yake maumivu yakizi akuone kwa ushauri zaidiDamu damu
Hivi yanga bado mnatuita hilo jina hamjabuni jingineHuyu ni utopolo nae 😀😀
Daaah 😭😭😭 imekuwaje tena 🚶♀?Typing...................delete
Typing.................delete
Typing.............delete
Sema nlikuwa nawatamani sana fainali hawa utopolo, shem darling wangu.
Issue ni mda na idadi ya magoli yaani ni mapacha football ambao haina magoli inakua kama mate haina ladhaSo ishu n muda wa kufunga magoli na sio idadi ya magoli mana muda ukiwa mrefu ndio wachezaji wanafurahia 🔥