Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Mimi naona kama sio wa sports🤣🤣Kwani sio uzi wa sports 😆😆
Mie niliweka the lounge moderator kaona unafaa huku🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mimi naona kama sio wa sports🤣🤣Kwani sio uzi wa sports 😆😆
Mie niliweka the lounge moderator kaona unafaa huku🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Umekunywa nini kijana usiongeze tenaMimi naona kama sio wa sports🤣🤣
Napenda ila hii sio game nzuri haivutii
Naskia mtu Kala 6 na bado mtanange uko live
Inapendeza... Kila la kheri...Napenda ila hii sio game nzuri haivutii
Spain 4 - Saudia 0Naskia mtu Kala 6 na bado mtanange uko live
Hao wamekutana na mfumo mbaya wa Spain... Si ndo hawa waliifunga Argentina 2022?Spain 4 - Saudia 0
🤣🤣🤣 heheheheeeee (manara voice)Kipindi cha nne wanasubiria
Kwakweli 🚶♀️Haya maji yamemwagika tusubirie next time!
Pole dihaKwakweli 🚶♀️
Sitaki pole yako ya unafiki 😂Pole diha
Mzigo gani tena? 😹Ila tukiongea ule uhalisia hamna kitu raha duniani kama kula mzigo bn!
Inatoka ku moyo mahi🥰Sitaki pole yako ya unafiki 😂
Sikuamini 😒Inatoka ku moyo mahi🥰
Shenziii mzigo wa naniii🤣🤣Mzigo gani tena? 😹
Em waungwana tuwe tunaelekezana isije kuwa huu mzigo wa vijora unaliwa afu mi sijui..!! 😹😹😹
Kama hutaki baasi 🤣Sikuamini 😒
😹😹😹 Uzi wako unachekesha, hapo umewafurahisha vijana wa sheikh Ponda wapenda MIZIGOShenziii mzigo wa naniii🤣🤣
Uzi unaongelea magoli 3 Azam & Yanga 2😅😅😹😹😹 Uzi wako unachekesha, hapo umewafurahisha vijana wa sheikh Ponda wapenda MIZIGO