Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

Hujajibu swali mkuu
Jibu tayari liko hapo kuwa tulimani Yanga kwa vile tuna ishu naye siyo kwa sababu ni dhaifu maana kwenye NBC tuliashamaliza nao nafasi pekee ya kukutana naye ilikuwa hii lakini ndiyo hivyo Azam kamuokoa.
 
Muhimu magoli, ila goli moja linalipotikana kwa mbinde linaweka kumbukumbu ya mda mrefu sana!
Walau hilo linalopatikana kwa mbinde watasema game ilikua tafuuuuu sana🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️

Magoli matatu si mchezo!
Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama Azam? 🤭

Ulikuwa unashindania kombe gani hasa? 😄

Mimi napenda mechi zenye magoli mengi, zinakuwa na burudani muda wote

Wewe je? 🤪⚽️

Weekend inaishiaa
ShesRise_1 ✋️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom