Kinyerezi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2009
- 487
- 149
View attachment 249800
Huwezi kuamini lakini ni ukweli.. Lori Tani 20 limesombwa na mto Darajani Kinyerezi... this is now na mvua inaendelea km kawaida.
Hili gari lilijaribu kuvuka mto jana kwa kupitia bondeni, likashindwa kuvuka kwa kupata breakdown.
Mvua zilizonyesha usiku kucha leo zimelikuta hapo na siyo kwamba limesombwa na maji.