Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Bahati nzuri hio ni Landcruiser kwahio tulikua salama kiasi, inatisha sana sana maji yana nguvu mnoDuh! Sasa hapo mmetokaje? Mmefanikiwa kuvuka kweli?
Bahati nzuri hio ni Landcruiser kwahio tulikua salama kiasi, inatisha sana sana maji yana nguvu mnoDuh! Sasa hapo mmetokaje? Mmefanikiwa kuvuka kweli?
Jamani nasikia kana barabarani zimefungwa tujuzeni basi
[/QUO![]()
TE]
I think this is UDSM Coet, am I right?
Ifike wakati watu waende nje ya mji, kwani lazima kuonekana unakaa mjini ili hali unaishi kwenye bwawa la maji ya chooni???????? nyumba nyingine ni kinyaa lakini mtu anang'ang'ania hapo hapo kisa yupo karibu na kariakoo ni ujinga huo sasa. hapo serikali ya ccm haihusiki.
Bahati nzuri hio ni Landcruiser kwahio tulikua salama kiasi, inatisha sana sana maji yana nguvu mno
Mbona hadi posta hua mfuriko yanafika kwa hiyo napo wahame
Yeah nilikuwa natoka kinyerezi kwa mchepuko nipo ofisini now. Nilikatizia barracuda.
Hivi wewe ulielewa kweli nilichoandika?
Wananchi ni kina nani kwa mtazamo wako? Manake nachelea kuamini kuwa kwako wewe wananchi ni "walalahoi" wa Manzese, Tandale kwa Mtogole/kwa Tumbo, Kimara, etc.
Nyumba zipi za Msasani zimejengwa kwa kibali cha Serikali? Unazifahamu?
Acha kutendea upumbavu wewe!! Hivi mafuriko ya Dar yapo mabondeni tu? Na huko kati kati ya Jiji nani wa kulaumiwa!? Ni wananchi ndio walivamia na kujenga hovyo bila vibali? Miundo mbinu ya Dar ni bado ile ya mwaka 47 ambapo population ilikuwa 250, 000. Serikali pamoja na kuona ongezeko kubwa la watu haikufanya lolote kuboresha miundo mbinu (drainage system) lakini wewe hilo hulioni. Kuna faida gani ya kukatwa kodi kama Serikali haiboreshi mambo mbali mbali nchini ikiwemo kuepuka maafa ya mara kwa mara yanayosababishwa na utendaji mbovu. Acha kutetea uzembe.