Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
jaman nasikia salender nayo imefungwa ni kweli ama
Lala posta mkuu
jaman nasikia salender nayo imefungwa ni kweli ama
Labda anatembeza bidhaa za makampuni dizaini ya forever!Nimepita maeneo ya Tabata, Buguruni, Vingunguti nimekuja kuiona tena hali hiyo Kigogo na sasa nipo magomeni sijajua kwa ndugu zangu pale Kinondoni kutakuwaje.Alifajiri wewe umeshapitia mitaa yote wewe noma....pole yao waliopata mafuriko
Hii gari akauze spare parts tu...
![]()
Pole mkuu, nilikatiza huko asubuhi kwa kweli ilikuwa balaa! Nasikia kwa sasa hali imezidi kuwa tete!Kiukweli ni balaa!, njia ya Goba Rd kutokea Massana, imekatika, hivyo magari yanapita mtaani kwangu kuzungukia.
Home kwangu maji yamefurika na kufumua ufuniko wa cesspit! maji ya mvua ndia yamejaza cesspit na kureplace contents kutitirishia barabarani!, kiukweli leo ni majanga!.
Ukuta wa Makongo sekondari, umeanguka!. Pale Tangi Bovu, kuna daladala ilitanua kumbe barabara pembeni imelowa, ikaporomoka dala dala hilo limelala mtaroni!. Pale Lugalo kumetokea landslide, pande la udogo limemegeka na kudondokea barabarani!.
Kiukweli leo... sijui!.
Pasco
Hata zikifutika zitachorwa tena
Mpwa nilisoma ila nilifeli maana yule Mwalimu aliekuwa anatufundisha alikua Mrembo kweli halafu shule tulikua boys tu
Loh maji yanafaudu jamani
hili shamba la mchele, mnipatie......nilime mchele wangu
Bila shaka mvua hii imeletwa na cdm
jaman nasikia salender nayo imefungwa ni kweli ama
Loh maji yanafaudu jamani[/QUOTE . huyu hana majonzi anafurahia poza engine
Wale wa jangwani sijui watakua na hali gani maskinii
Hahahah yani kwa kweli hata mimi niliona hii ya matumbo nikaamua kuchuna. Ilikua saa moja kasoro asubuhi jamaa kashakatiza kote huko, mimi ndio kwanzaa... nikasema kweli ma hustler wapo!!Labda anatembeza bidhaa za makampuni dizaini ya forever!
Sasa hoja yako hapo ni nini?
Habari za kuaminika? Acha uzushi ndugu!Habari za kuamini na uhakika:- Hadi kufika 2050 DAR,ZNBR,MOMBASA zitafutika ktk ramani !!!
Sababu ya mafuriko?
Hii ni sababu nyingine kwa wazanzibar kuomba muungano uvunjwe.
Ikiwa mimi natetea upumbavu na wewe unatetea nini kama sio huo huo upumbavu? Serikali ni ya kipumbavu kwa kuwa imeshindwa kutimiza wajibu wa kuokoa maeneo ya kati kati ya mji amabayo yamejengwa vizuri, je hiyo ni sababu tosha ya kuwafanya wananchi nao wawe wapumbavu wa kujenga mabondeni? Unataka kuniambia kati kati ya mji kungekuwa na miundombinu mizuri ndo wapumbavu wasingejenga kwenye mabonde? Unataka kuniambia kungekua na miundo mbinu mizuri kati kati ya mji, ina maana watu wa mabondeni wasingekumbwa na mafuriko? Yaani kwa kuwa serikali ni ya kipumbavu na wananchi nao ndo wawe wapumbavu? By the way, hivi unajua maana ya kulaumu wewe? Mie nalaumu au nawaponda wapumbavu wanaojenga mabondeni? Hivi wewe kwa akili yako na ufahamu wako yale mafuriko ya Jangwani na Kigogo yanatokana na miundombinu mibovu katikati ya jiji? Ushawahi kusikia kati kati ya jiji amekufa mtu kwa mafuriko?Acha kutendea upumbavu wewe!! Hivi mafuriko ya Dar yapo mabondeni tu? Na huko kati kati ya Jiji nani wa kulaumiwa!? Ni wananchi ndio walivamia na kujenga hovyo bila vibali? Miundo mbinu ya Dar ni bado ile ya mwaka 47 ambapo population ilikuwa 250, 000. Serikali pamoja na kuona ongezeko kubwa la watu haikufanya lolote kuboresha miundo mbinu (drainage system) lakini wewe hilo hulioni. Kuna faida gani ya kukatwa kodi kama Serikali haiboreshi mambo mbali mbali nchini ikiwemo kuepuka maafa ya mara kwa mara yanayosababishwa na utendaji mbovu. Acha kutetea ujinga wewe Ibambasi Ibambasi
Uzembe wa serikali