Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

Mpwa unakumbuka mwaka jana kwenye mvua hizi kulikua na Bidada mmoja alibebwa halafu akaangushwa kwenye dimbwi la maji? Hivi zile picha bado unazo? Maana picha zako full utata
ngoja nizisakanye tena umenikumbusha .........................
 
attachment.php
hahahhahaaaa hapa ni Engeneering UDSM, dah
 
Mpwa nilisoma ila nilifeli maana yule Mwalimu aliekuwa anatufundisha alikua Mrembo kweli halafu shule tulikua boys tu

Ukawa unapiga punyeto kwa ku-refer picha yake, pole dogo:sly:
 
tatizo hii nchi imelaaniwa siku nyingi! Tangu tumepata uhuru hakuna mipango miji endelevu iliyofanyika! Tuna wizara ya ardhi ila haijui majukumu tangu kuanzishwa kwake! Watu wanapiga deal tu hapo! Alipoingia mama wa escrow nilijua nyumba imepata mpangaji! Kumbe alikuwa anatafuta hela za mboga tu! Poor my country tanzania, hata tunavyoona watu wanajenga hakuna provision ya barabara hii yote ni majukumu ya wizara ya ardhi! But they have no idea! Ndio sasa naona tulidai uhuru kabla ya muda kufikia! Au akili zetu zimedumaa

watanzania sisi watu ajabu sana!! yaani hatujuagi kuna vitu vinaitwa natural disasters vinatokea duniani kote hivi mafuriko tunachoonga je ikitokea tetemeko kama lile la Nepal tutasemaje? yametokea mafuriko na hadi sasa Mungu katunusuru hatuja poteza hata raia mmoja tunaandika vitu kama hivi. kama ni kujenga ovyo woote tunajenga hovyo hovyo! tusilete siasa katika majanga ya asili mbona migomo inatosha kufanyia siasa!!! natural disasters its shameful!!!
 
Back
Top Bottom