Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......
 
Siwezi kumsifia mtu aliyefanya niishi kama shetani kisa alipunguza makali ya mgao wa umeme, yani nifilisike biashara zangu na vidola vyangu vya trading vichukuliwe halafu nishangilie kuna umeme, aende tu kwakweli.
Wewe ulikuwa huna kitu kabla na baada ya Magufuli.
 
Hata angefanya kikubwa kiasi gani sio kitu mbele ya amani na usalama wa raia! Watu wameokotwa kwenye viroba, wengine mpaka leo hawajulikani walipo, kina Lissu wamepona kwa kudra za Allah! Nchi ilijaa hofu hofu hofu kwa ajili ya mtu mmoja! Hapana huyu mzee apumzike anapostahili!
Acha uongo, waliyookotwa kwenye viroba ilikuwa wakati wa Kikwete
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Pia alifuta ujambazi na hili hamlikumbuki?
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Bro Kichere anauliza "ACHOMOE BETRI au ASICHOMOE".
JamiiForums1213794412.jpg

Mchawi amekufa, misukule mnatapa tapa hovyo mitaani.
 
Back
Top Bottom