Serikali hii ya awamu ya tano imefanikiwa sana kutekeleza miradi mikubwa wezeshi kiuchumi kwani miundombinu na maendeleo ni kama mishipa ya damu na cell ndani ya miili ya viumbe hai
''What we need is welfare economy and collective leadership'' Wenye akili timamu wanajua kwamba mmbo hayaendiSerikali hii ya awamu ya tano imefanikiwa sana kutekeleza miradi mikubwa wezeshi kiuchumi kwani miundombinu na maendeleo ni kama mishipa ya damu na cell ndani ya miili ya viumbe hai
Habarini wanajamvi.....
Nimpongeze JPM Kwa kazi kubwa anazozifanya kupeleka Nchi mbele....
Kwa haraka haraka kumbe Tanzania siyo maskini tuna uwezo wa kufanya kila kitu mahospitali yanajengwa,barabara,ndege zinanunuliwa,Elimu bure Nchi nzima,madaraja yanajengwa hakika Tanzania tumepiga hatua kubwa sana...
CCM ndo chama pekee itakayowaletea wananchi maendeleo na siyo hivi vyama vingine vilivyojaa genge la wahuni
CCM ndo kila kitu mdau.Naona umeamua kujitekenya ili ucheke mwenyewe!
Habari za siku nzima ya Leo?Enlightenment Tunatimiza miaka 57 toka tupate uhuru ila maadui wakuu UJINGA,UMASIKINI na MARADHI hatujaweza kuwaondoa alafu wewe unakuja na porojo za kipumbavu,nani amekuroga?
Enlightenment Tunatimiza miaka 57 toka tupate uhuru ila maadui wakuu UJINGA,UMASIKINI na MARADHI hatujaweza kuwaondoa alafu wewe unakuja na porojo za kipumbavu,nani amekuroga?
Lakini sidhani kama wanamzidi mama yako mzazi kwa upumbavu, ama namna gani?Ukisikia makamongo ya lumumba ndiyo kama huyu. Ni wapumbavu wa kutupa.
Aisee!Bila shaka nyie ni wale mnaosema Mungu anafaa kumshukuru makufuli. Kazi kukufuru tu!Jembe ,Jiwe,Chuma,Mwamba kila aina ya Ujemedari ndio Stahili yake kuitwa
Hatuna mwingine zaidi yake kwa sasa
Tanzania inamtegemea yeye
Watanzania hawana kimbilio Jingine zaidi yake
Mungu akupe maisha marefu Rais wangu kIpenzi cha wengi
Nchi gani ambayo imeshaondoa kabisa.Enlightenment Tunatimiza miaka 57 toka tupate uhuru ila maadui wakuu UJINGA,UMASIKINI na MARADHI hatujaweza kuwaondoa alafu wewe unakuja na porojo za kipumbavu,nani amekuroga?
Lakini sidhani kama wanamzidi mama yako mzazi kwa upumbavu, ama namna gani?
Habari ya jioni?Aisee!Bila shaka nyie ni wale mnaosema Mungu anafaa kumshukuru makufuli. Kazi kukufuru tu!