Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

Hakika mkuu

Kuna clip moja ya David Gogins(navy seal) huwa napenda kusikiliza asubuhi kila nipatapo nafasi... Inanisaidia sana ku affirm kile nataka.

Again cha kuongezea lazima kuwe na loop ya affirmation na action pia

Maana usipo fanya action huendi popote.
Upo sahihi bro! Lakini kikubwa ni kujaza mawazo chanya vichwani mwetu,the rest ni utelekezaji tu
 
Mabadiliko au mafanikio ya maisha yanahitaji nia na hatua thabiti pamoja na nidhamu ya hali ya juu sana,huku ukijiwekea malengo,

Kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio,but ukweli ni kwamba,True wealth is measured by inner character and emotional fulfillment rather than financial numbers,

The greatness of a man is not in how much wealth he acquires, but in his integrity and his ability to affect those around him positive.
 
True wealth is measured by inner character and emotional fulfillment rather than financial numbers,

The greatness of a man is not in how much wealth he acquires, but in his integrity and his ability to affect those around him positive
Sasa mkuu mbona unaongea kitu alafu unaji contradict mwenyewe?

Unaposema "finacila numbers unamaanisha nini"... Maana naweza nikawa na cash nyingi mkononi lakini nisijue namna ya kui duplicate..

Lakini pia mwishoni ukasema how to impact others.. Je hiyo impact ni directly proportional to finacial numbers au character na uwezo binafsi?
 
Sasa mkuu mbona unaongea kitu alafu unaji contradict mwenyewe?
Wapi hapo?
Unaposema "finacila numbers unamaanisha nini"...
Idadi ya fedha ulizo nazo
Maana naweza nikawa na cash nyingi mkononi lakini nisijue namna ya kui duplicate..
Ukijaaliwa kipato,unatakiwa uwasaidie wenye uhitaji,huo ndio utajiri wenyewe.
Lakini pia mwishoni ukasema how to impact others..
Ina maanisha utajiri wako utapimwa kwa jinsi unavyo saidia watu wenye shida waliokuzunguka,
Je hiyo impact ni directly proportional to finacial numbers au character na uwezo binafsi?
Vyote kwa pamoja au kimojawapo.
 
Wapi hapo?
Kwenye hizo quotes nilizo attach ukiangalia thought process ilikuwa ina kinzana..

Wapi hapo?

Idadi ya fedha ulizo nazo

Ukijaaliwa kipato,unatakiwa uwasaidie wenye uhitaji,huo ndio utajiri wenyewe.

Ina maanisha utajiri wako utapimwa kwa jinsi unavyo saidia watu wenye shida waliokuzunguka,

Vyote kwa pamoja au kimojawapo.
Sawa mkuu👍
 
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.

Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.

Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank. Eti ya kuwa kufikia level za kina MO dewij, kina diamond, ni just pesa wanazomiliki.

Money isn't success, success is who they are. Ni vile walivyo ndo inafanya hela ije. Most people feel worthless despite the money they have, why? Because wanajua akiacha kufanya anacho kifanya he's nothing.

Ya kuwa success kwake iko accustomed to him or her showing up.

But ukweli ni kuwa, true success is an energy form... Hata hela sio physical. Hela ni energy..

What kind of energy are you giving off to the world? Imekaa ki wooo wooo sana hii ila ndo ukweli mchungu. If you're vibrating at a lower frequency jua wewe ni utabaki kuwa maskini daima.

The real ones, huwa hela inawafuata, makampuni yao anapata customers, watu wanafata energy sio product.

Ndo maana huwa kuna kitu kinaitwa brand, brand ni chapa yenye energy.. Kwa mfano apple, Nike, addidas hapo tena sio mtu physical ambae anahusika bali ni energy inayotoka kutoka kwenye creation na chimbuko la hiyo brand.

Nataka kusemaje?

Usiyakimbikie mafanikio kama mjinga usiye na mbele wala nyuma..

Unatakiwa uwe na maono..

Ndo maana mimi. de Gunner tayari nimesha weka na kujisemea maono kuwa kufikia mwaka 2040 Nitakuwa moja ya watu maarufu duniani.

Sio kwasababu haiwezekani bali ni kwa sababu tayari najua fika kuwa energy haizaliwi mafichoni, unazaliwa kweupe, kwa njia ya vibration, kwa kutamka wazi bila hofu, bila kucare watu wanasemaje, na kujua kila mtu ana equal chance ya kuwa kile anataka.

Ndo maana tunaona sasa, watu wana resign wengine wa najaribu kung'ang'ania madaraka just to keep on feeling accomplished but that is a zero sum game. The real ones huwa hawajioneshi wala kutaka approval.. They simply be who they truly are.
kwahiyo Mo Dewji yukoje mkuu!
 
kwahiyo Mo Dewji yukoje mkuu!
Sijui hata mm nimeongea nature of success ambayo iko so hidden nimetumia hao kama mfano tu, ila sio kuwa nawajua maisha yao binafsi
 
Watu wenye pesa na mafanikio wakishafanikiwa sana wanajifanya kwamba alikuwa na maono flani hivi au alijitamkia kufanikiwa ndio akafika hapo alipo,lakini hawaelezi kiundani walifanya nini mpaka wakafanikiwa,hiyo inabaki kuwa siri yao.Ninavyoamini mimi ni kuwa Mungu amempa kila mtu kipawa chake na karama,kwahiyo kama kipawa chako ni kidogo hata ungekesha usiku kucha ukijitamkia mimi nitakuwa tajiri kama sio ni sio tu...
 
Watu wenye pesa na mafanikio wakishafanikiwa sana wanajifanya kwamba alikuwa na maono flani hivi au alijitamkia kufanikiwa ndio akafika hapo alipo,lakini hawaelezi kiundani walifanya nini mpaka wakafanikiwa ,iyo inabaki kuwa siri yao.Ninavyoamini mimi ni kuwa Mungu amempa kila mtu kipawa chake na karama,kwahiyo kama kipawa chako ni kidogo hata ungekesha usiku kucha ukijitamkia mimi nitakuwa tajiri kama sio ni sio tu...
Kumbuka mafanikio Sio Pesa, unarudi kwenye point mama...

Trust me, kipawa Kiki tumia vizuri lazima kizae matunda in one way or another....

Na mpka ujue kipawa chako na kukitumia ujue tayari wewe hauko attached to money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom