de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,606
- 21,133
Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili.
As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge...
So since kila kitu in this physical universe is made up of particles, then hata sisi binadamu, Wanyama na viumbe vyote are indifferent to non living things
Nina maana gani,
Ya kuwa from newton's first law of energy conservation, "energy can neither be created nor destroyed" hence binadamu akifa ni ya kuwa hapotei ila nishati inabadili mfumo tu,
Kwa mantiki hiyo mtu akifariki wengi wasio na ujuzi huu huhisi kuwa amefutika noo, it's time for that energy system to shift its avatar.... Nafsi(nishati) inatoka kwenda ku occupy another body..l
Sasa je kuna haja gani ya watu kulipia mfu, wakati ni rhythm ya any energy system ya kuwa lazima azaliwe na afe.
So kumbe, kifo ni illusion... Hatufi bali tunafunga energy system ambayo haipotei.
Kwa dhana hii basi wewe haufi bali upo na ulikuwepo na utaendelea kuwepo.