de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,451
- 22,748
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.
Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.
Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank. Eti ya kuwa kufikia level za kina MO dewij, kina diamond, ni just pesa wanazomiliki.
Money isn't success, success is who they are. Ni vile walivyo ndo inafanya hela ije. Most people feel worthless despite the money they have, why? Because wanajua akiacha kufanya anacho kifanya he's nothing.
Ya kuwa success kwake iko accustomed to him or her showing up.
But ukweli ni kuwa, true success is an energy form... Hata hela sio physical. Hela ni energy..
What kind of energy are you giving off to the world? Imekaa ki wooo wooo sana hii ila ndo ukweli mchungu. If you're vibrating at a lower frequency jua wewe ni utabaki kuwa maskini daima.
The real ones, huwa hela inawafuata, makampuni yao anapata customers, watu wanafata energy sio product.
Ndo maana huwa kuna kitu kinaitwa brand, brand ni chapa yenye energy.. Kwa mfano apple, Nike, addidas hapo tena sio mtu physical ambae anahusika bali ni energy inayotoka kutoka kwenye creation na chimbuko la hiyo brand.
Nataka kusemaje?
Usiyakimbikie mafanikio kama mjinga usiye na mbele wala nyuma..
Unatakiwa uwe na maono..
Ndo maana mimi. de Gunner tayari nimesha weka na kujisemea maono kuwa kufikia mwaka 2040 Nitakuwa moja ya watu maarufu duniani.
Sio kwasababu haiwezekani bali ni kwa sababu tayari najua fika kuwa energy haizaliwi mafichoni, unazaliwa kweupe, kwa njia ya vibration, kwa kutamka wazi bila hofu, bila kucare watu wanasemaje, na kujua kila mtu ana equal chance ya kuwa kile anataka.
Ndo maana tunaona sasa, watu wana resign wengine wa najaribu kung'ang'ania madaraka just to keep on feeling accomplished but that is a zero sum game. The real ones huwa hawajioneshi wala kutaka approval.. They simply be who they truly are.