Ngoja leo niwasanue wamatumbi

Ngoja leo niwasanue wamatumbi

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,849
Reaction score
21,500
Katika ulimwengu huu muishio wamatumbi mmekua nyumbu kwa sababu hamjui dhana kuu ya uwepo wenu...

Mmekalia superficial things... Hamjui ya kuwa maisha ni mifumo, mnachojua ni kuwa hela ndo msingi bora wa maisha ila kujenga mifumo ya maisha hamtaki. Sasa sijui hiyo hela inatokea kimiujiza?

Anyways... Hiyo ni topic for another day..

Katika haya maisha kuna vitu vimefichwa katika ulimwengu wa giza(sio uchawi bali ni dhana potofu tu).... Katika vitu ambavyo mnapaswa kuacha kuamini kabisa ni kati ya yafuatayo...

1: Uwepo wa mapenzi ya kweli (eti soul mate)

Hasa mimi kabla ya kuamka kutoka usingizini niliwahi kuamini katika kuwa na my other half... 😂 Aisee nilipitia maumivu makali sana bila ya kujua,kuna binti kanitesa sana maishani. it was my dumb programming hasa hasa kwenye mapenzi ya kideo. Ndugu zangu wamatumbi inabidi mwachane kabisa na kupelekeshwa na mapenzi. Mapenzi ya kweli ni kujipenda wewe mwenyewe. Hakuna kiumbe kitakacho kupenda zaidi yako, don't give your heart and soul to another person... You are already whole, nakuhakikishia ukisha jipenda huyo soul mate anakuja mwenyewe no need to cling or chase no body.

2: kulala masaa 8 ni afya....
It's a big lie, na ndo namna wanatumia ku control masses. Hakuna time frame ya muda wa kulala.. Kuna jamii za zamani walikuwa wana lala masaa kadhaa mchana, alaf na usiku wa manane wanaamka kufanya shughuli mbali mbali... Wengine walikuwa wanacheza ngoma, wengine wanaenda mawindoni...ila baada ya capitalism na mengineyo kumekuwa na ujinga wa ratiba za kidwanzi sana eti sijui kulala masaa 8 and all other BS.
The body has natural circadian rythims ila sio kigezo cha kusema nilale saa ngapi niamke saa ngapi... Au nilale masaa mangapi.

3: kula milo mitatu ni afya....
Hakika ndo maana wamatumbi mnamambo ya ajabu sana...
Mwanaume mzima anavimba kama kiboko... Mwanamke nae eti anakitambi alooo, hivi nyie nani aliwaroga? Mnakula kama nguruwe... Mnapakia kila kitu na hamchagui kama fisi...
Haya basi ngoja niwasanue... Kula hapaswi mle sana, na kula yenyewe inaweza kuwa mara moja kwa siku... Trust me guys... Baada ya kuanza kufunga nilijikuta nakuwa soo efficient na mwenye utimamu mkubwa sana wa akili... Mwili hutunza energy ya ma vyakula unayo kula... So pakia kiasi tu then hakikisha una burn that excessive fats. Acha kuwa kama mnyama.... Tena wadada ndo mmmezidi sana unakuta dada ni bonge sawa... Ila sasa ubonge wake hauko proportional kabisa... Yaani tumbo sio tumbo, guu sio la bia tena. Daah... Na kuna wanaume nao yaani ni kama kiboko aliyesimama wima... Alaf a natembea kwa mtaa kabisa yuko comfortable!!! Acheni basi jioneeni huruma eny wamatumbi...

3: Mungu ni mtu anaye kutakia mema.
That's another lie... Ndugu zangu huyo Mungu unayedhani anaykutakia mema ndo huyo huyo aliyeumba wanyama unao wakata shingo na kuwala.... So uache kujipa umuhimu kisa wewe ni binadamu..
Ukienda kuomba bora useme Mungu akupe unacho stahili na sio akuone huruma... Who the hell are you to be soo special? If kutokuongopeana sisi tunaoharibu nature ndo tuna haki ya kumalizwa kabisa... Dunia imekuwa worse kwa ajili yetuu kuna aina nyingi za viumbe vimekuwa extinct kwa uchafuzi wetu wa mazingira. Soo hakuna huruma wala tumaini kwa Mungu.... Incase Mungu hakupaswa kabisa kuacha binadamu atawale maana hana akili huyu kiumbe.

4: Furaha ni bora kuliko chuki na mateso....
Actually huu ndo uongo universally....
Carl G Jung aliwahi kusema...
"a tree that will grow to heaven must reach it's roots deep down to hell*,
Actually alimaanisha kuwa heaven and earth are two sides of the same coin... So furaha na Maumivu lazima viendane. Anaetaka furaha bila mateso huyo ni hataki chochote...so mateso huwa na maana kubwa sana, hasa it has to do with the universe speaking to you.. Inakurudisha kwenye equilibrium.. Ila watu hukimbia their dark moments only to realize you can't avoid it. Pleasure is only an illusion..

Hayo ni machache kati ya mengi nitakayo kuwa nawasanua enyi wamatumbi... Life is not a puzzle to be solved, it's a reality to be experienced" you can't fix your own life. You have to understand it was never broken in the first place.

Morning wisdom.... Day 2
 
Bhangi mbaya ,hakuna dhumuni la maisha ..Dhumuni utakamilisha lini wakati mtu unaweza kufa muda wowote, dunia ni mihangaiko isiyokuwa na faida yaani kama ndoto.

Unaweza kunua ardhi ,unasubiria ipande thamani ,the moment unasubiria unakufa na kuiacha ,the moment unapata kila kitu na pesa lukuki bank ,unakufa na kuviacha ...Yaani ni ndoto ,hakuna uhalisia.

Kilichobaki kwa binadamu ni kuendeleza vizazi ili kuacha kumbukumbu endelevu , tumejijengea mfumo tu wa kujihangaisha ..Kama kuna dhumuni basi waangalie jamii kama hadzabe ,wanaishi kivyao hawana muda na ujinga mwingine..Wanakamilisha dhumuni la kuzaliwa ,kuishi na kufa basi.
 
Bhangi mbaya ,hakuna dhumuni la maisha ..Dhumuni utakamilisha lini wakati mtu unaweza kufa muda wowote, dunia ni mihangaiko isiyokuwa na faida yaani kama ndoto.

Unaweza kunua ardhi ,unasubiria ipande thamani ,the moment unasubiria unakufa na kuiacha ,the moment unapata kila kitu na pesa lukuki bank ,unakufa na kuviacha ...Yaani ni ndoto ,hakuna uhalisia.

Kilichobaki kwa binadamu ni kuendeleza vizazi ili kuacha kumbukumbu endelevu , tumejijengea mfumo tu wa kujihangaisha ..Kama kuna dhumuni basi waangalie jamii kama hadzabe ,wanaishi kivyao hawana muda na ujinga mwingine..Wanakamilisha dhumuni la kuzaliwa ,kuishi na kufa basi.
Yaani maandishi yako yanamkanganyiko sana... Umesema hakuna dhumuni...

Then tena ukasema maisha hayana maana..

Bado tena uka criticize jamii ya wahadzabe. Kwa kukosa dhumuni.

Je kipimo cha dhumuni ni kipi hasa?

Maana kila kitu kina dhumuni... Mmea hutoa matunda, wanyama nao ni kitoweo.. Jua, maji, ardhi, na vinginevyo vyote vinadhumni la kuwepo... Sasa Unaposema hakuna dhumuni una maana ipi?

Kufa na kuzaliwa hiyo ni kwa kila kiumbe.
 
Super natural power iitwayo Mungu,Haina uhusiano na dini yoyote wewe itumie tu ku harness kilichobora usifungwe na Imani ya kidini coz dini ni mtego wa kutawala the weak!!

Fanya KAZI kwa bidii tumia hiyo nguvu utafanikiwa,sio lazima uwe mtumwa wa kanisa na msikiti!!!!

Kuwa huru ,iite nguvu hiyo kwa sauti ya kawaida na sema unachikitaka halafu fanyia kazi utaona mambo yanaenda!!
 
Super natural power iitwayo Mungu,Haina uhusiano na dini yoyote wewe itumie tu ku harness kilichobora usifungwe na Imani ya kidini coz dini ni mtego wa kutawala the weak!!

Fanya KAZI kwa bidii tumia hiyo nguvu utafanikiwa,sio lazima uwe mtumwa wa kanisa na msikiti!!!!

Kuwa huru ,iite nguvu hiyo kwa sauti ya kawaida na sema unachikitaka halafu fanyia kazi utaona mambo yanaenda!!
Hakika na hiyo nguvu iko ndani ya kila kiumbe. Ukweli ni kuwa what you believe becomes your reality hata suffering is the by product of the mind.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom