mpwa umetoka mbeya jana ninii jii mada niliisisistiza kweli hapa jf..sikuwa muathirika mimi hii ndio tofauti yetu..infact nashukru kwa taarifa..ila sio hilo tu huwa waanapaka madawa kwenye kikwapa
ogopa mkiwa kitandani akawa anakubana na kwapa ujue mpwa soon unamwachia kila kilichochako ..tena anakukumbatia huku anacheka unaishia kumlalilia hii ni kwahisani ya tembeletembele muathirika wa kikwapa cha ma cd..
Kingine kuwa makini
wana cont za polisi jiadhari usijionyeshe una hela...wakikushtukia mnaingia ndani fresh baada ya muda anakuja mtu mzima wako watatu wnanajirudia kila siku anajifanya mke wake unatembea na mkewe aisee waatakupa kichapo na hapo ni baada yahapo mnabageni unampa jamaa sh ngapi kama fidia else wanatuita na mim nikija wala sikuangalii usoni mpwa nabageni na wewe else unamkia chumba cha kutibia wazinzi selo