Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.
Wadau chukueni tahadhari boss wangu MCHINA nilimpeleka hapo nae kidogo wamlize hao wadada. Lakini uzuri nilikuwa nje naona dada anatoka bila boss ndo nikamzuia nikamrudisha ndani namkuta boss anakoroma baada ya kuwekewa dawa
 
Huyo MCHINA inaelekea alikuwa anataka kumkopa huyo dada ndo maana dada wa watu akaamua kumkomoa. Pole sana Mjukuu wa Mao Tse Tung
 
hivi mnaochukua machangudoa mna future na maisha kweli? hivi uwa mnapima kweli?

Wewe changudoa mtamu manake hauna mawazo kua eti na yeye umridhishe yani unajipigia tu ukimaliza fresh hakuna lawama za "mi sijaridhika"(na usianze eti huwez kumridhisha mwanamke)
 
Hiv changudoa kweli? mbona kinyaaa? na hela unatoa kulipia nyapu? kazi sana
 
Hao machangudoa si watu kabisa kuna mmoja alinipasulia kondomu nimekuja kustuka wakati natoa ub.oo Qumani maana kabla ya Wana_UKAWA hawajaanza kutoka nilihisi joto kiasi but sikutilia maanani kumbe yule demu kapasua Kondom na kucha zake ndefu
 
secrete umeniacha hoi eti wana UKAWA kabla hawajatoka ulistuka lakini ukapuuzia. UTAKUFA we endekeza
 
Machangudoa aisee hapana nimeshastaafu maana ni full stress, yaani unat.omba huku nasikiliziaNO NO NObora nioe kuliko kupiga FASTJET
 
ILa kuna watu mmepinda si kidogo yaani unatoka huko ulipotoka unaenda kununua MALA.YA? daah dunia hii Shetani ana Nguvu sana halafu ni nyie mnaendaga MAKANISANI na MISIKITINI na kujidai waumini wa kutumainiwa!!!
 
usioe mapema wanawake ni wasumbufu sana wakiingia ndani wew endelea kuwakula machangu mpaka umalize wote
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

serves you right!! na una bahati huyo changu yupo kwenye mfungo mtukufu wa Kwaresma..vinginevyo hata hiyo bukta angeichukua...bikra yako uliikuta asubuhi?
 
Thread ya 2013 daaa.jamaa siajabu ameshafunga akaunti jf.
 
Hapo ukishaingia room unafunga mlango kwa fungua then unaxificha chemba bila yeye kujua unaweza weka kwa soksi au ndan ya mto. au hata chemba furani bafun hapo akifanya tukio hatoki. USALAMA KWANZA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom