Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.
usinikumbushe machungu ndugu yangu wamechukuwa kadi yangu ya bank na kiasi kadhaa cha pesa japo bank hawakuweza kutowa kitu nadhani password imewashinda
 
unadanganywa wewehuyo ni my wife wa figganiggawewe kakwambia hajaolewa c ni hatareeee!!
huyu grafani11 anafanya makusudi. kitambo sana nlishamwambia kwamba Heaven on earth ndo mungu wangu wa pili hapa dunia. nampenda kuliko ninavyo jipenda. changu chake chake changu. huyu jamaa labda anataka nianze kutembea na kitu gan. ukisikia paa kwisha habari yake. mia
 
Last edited by a moderator:
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Hilo ni fungu la kumi upande wa pili. . . . Si bora ukatoe tu sadaka kanisani ijulikane kala mchungaji? au kusaidia maskini? Anyway Pole
 
sasa mi naona maruweruwe tu
mara figganigga, Eli79 na sasa grafani sijui nani jina gumu!!

Asante best kwa kuweka mambo mezani..khaaaa! hashikiki huyu kiumbe...teeeeeh!

Mkuu Dismynder1 nashukuru kwa kunishtua, kumbe ndivyo anavyokudanganya?

CC: Heaven on Earth

ndio ujiepushe mweeeh best yangu
usijepigwa mshale wa sumu bure!!

unadanganywa wewe
huyo ni my wife wa figganigga
wewe kakwambia hajaolewa c ni hatareeee!!

huyu grafani11 anafanya makusudi. kitambo sana nlishamwambia kwamba Heaven on earth ndo mungu wangu wa pili hapa dunia. nampenda kuliko ninavyo jipenda. changu chake chake changu. huyu jamaa labda anataka nianze kutembea na kitu gan. ukisikia paa kwisha habari yake. mia
Heaven on Earth njoo huku ujibu tuhuma watu wanataka waanze kutembea na vitu vigumu vyenye ncha kali na wengine milipuko kwa ajili yako.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndo effect ya kuchukua "POPO" , we ukitaka kwenda huko chukua mzigo na peleka sehemu unayoijua wewe na sio yeye, pia usibebe vitu vya thamani kwani wlae popop wata kupopoa ubaki mweupeee.
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Kwani hukushiba maziwa ya mama yako? Bahati yako wangekata na mkia wako wakaondoka nao!
 
...mkome lolz..tena mkomage. Bado tu kuibiwa DUSHELELE zenu..!!!
 
Hahahahahaaaaaaa kwa mwendo huo ipo siku watu watapigwa kabaaang na hao machangudoa wa sinza mori....
 
Naona wakina mama wanaongea kwa hisia kali sana humu, vipi mliwahi kutendwa nini?

kwi kwiiiiiiiii... grafani11 hajatendwa mtu hapa.. Najiuliza tu kwa sauti Mwanaume rijali, mwenye kujitambua anakuwa amekosa nini hadi akatafute dada poa. Au ndo udomo zege???? Ivi hamjisikii kinyaa kuchochovya hayo marungu ktk kila kinu ili mradi kinu tu .. ptuuuuuu (kichefuchefu).
 
Hicho kichefuchefu kinaweza kuwa na sababu nyingine zaidi ya virungu vyetu, umeziona mwezi huu kweli?
 
Last edited by a moderator:
Wadau mi yameshanikuta na najutia sasa hapa natoa tahadhari tu kwa wengine ukiwa nao chukua tahadhari. Tena wana tabia ya kutoboa kondomu na kucha zo na kujidai imetoboka.

kwi kwi kwi Kwi!!!Bro pole kumbe na mpira walikutobolea na ulisahau kuelezea?.......aaaaaaahhhh daah vip UMEPIMA wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom