grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Nitakuona wapi wakati hata kule siku hizi umekimbia huonekani.hahaaa my king kwanini umekuja kusema huku.......
Nitakuona wapi wakati hata kule siku hizi umekimbia huonekani.hahaaa my king kwanini umekuja kusema huku.......
Kwa nini unyonye chuchu za changu? Unajua zimetoka kunyonywa na nani kabla yako?
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI
Nitakuona wapi wakati hata kule siku hizi umekimbia huonekani.
Shukuru Mungu wameacha makalio yako salama.
wangeleta mhuni ashughulikie hayo marinda ndo ungepata akili!!
MwJ sasa mbona unauliza tena maswali hayo.................... Pole sana. Hujaoa kwani?
Ulivyoshadadia!!!!kwi kwi kwi kwi kwi
nilitaka kusema near what u write, kwamba huko nyuma amesalimika? kumbe umeniwahi japo kwenye hio ataficha siri hehehehee hata akikuta usalama hakuna atamezea tuu, chezea kutoka guest na bukta tena nahisi itakuwa boxer hata hela ya kuagizia suruali ya mtumba urudi home huna wala hela ya kununulia ndala hahahahaaa, simu ya kuita washkaji wakusaidie huna na hata ukipata simu ya msaada upige namba zao hujazishika kichwani heheheheeeeee, pole lakini.
Tuongee ukweli jamani. Kwani wewe unakwenda na mke wako kila sehemu? Chukulia uko kikazi au una shughuli fulani kwa wiki mbili tatu mahali fulani ugenini mbali na nyumbani kwako, utaacha kuchukua kachangu angalau kwa siku moja? Tusilaumu tu. Pole ndugu yangu Secret kwa yaliyokukuta.Ndugu yangu wewe una hatari kabisa. kwa nn usioe tu?
Kama mwenyewe umeshindwa kazi.leo nitakuwepo.....
ila tabia ya kwenda kuosha kirungu Sinza sitaki......
Ulivyoshadadia!!!!
Kwa nini unyonye chuchu za changu? Unajua zimetoka kunyonywa na nani kabla yako?
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI
Hivi na mimi naomba kuuliza hasa hapo hapo kwenye kusema za ukweli, hivi kama ni mwanamke ameenda safari kikazi wiki moja au mbili mbali na mumewe na mbali na home huwa wanachukua nani? maana hakuna changudoa wa kiume wanaojiuza, au huwa wanasafiri na vidumu vyao? msilaumu ni swali tuu kwa mtazamo huo huo aliouongelea bombom.Tuongee ukweli jamani. Kwani wewe unakwenda na mke wako kila sehemu? Chukulia uko kikazi au una shughuli fulani kwa wiki mbili tatu mahali fulani ugenini mbali na nyumbani kwako, utaacha kuchukua kachangu angalau kwa siku moja? Tusilaumu tu. Pole ndugu yangu Secret kwa yaliyokukuta.
Hiyo sio justification ya kuchukua malaya.Ukioa hiyo huduma unapata nyumbani kwako, huendi kunua barabarani
Mkuu pole sana kwa MAJANGA yaliyokusibu!! Samahani kuuliza hili; mchakato wa kuondoka ukiwa na bukta tuu ilikuwaje?? Ni kuoenda kujua ili namie likinitokea niwe na fallback plan🙂