Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Yaani Slaa habari zake zimekuwa za kuandikwa na gazeti la Sani! Ahahaha chezea siasa wewe kwishinie!!!!!

Hahahaaaa.....kufilisika sio lazima kuhusu pesa. Hata kimawazo na kiitikadi.
HUYU BABU KAFILISIKA VBY SN
 
Ndo maana hawaishi kunadi matusi badala ya sera kumbe Toroka Uje series inakuja!
 
Toroka uje, sasa hivi hii slogan wataiiga....tuitengenezee matisheti faster.. ni kazuri sanaaa
 
Hawachomoki akina nani sasa?
Wale wanaotegemea mwenge uwaokoe,
Mzimu wa mwenge umegeuka sasa unaunguza nyumbani
nani wa kuutuliza?
Nyumba inateketea,mtoto anazunguka nchi nzima na kifimbo
wakati miiko ya kifimbo ilishavunjwa,sasa moto unaunguza wenye
nyumba badala ya wanaoitwa maadui.
 
Mfa maji haishi kutapatapa,mtasema mengi ila hapa wetu ni Magufuli tu,hapa kazi tu,mwadilifu,mchapa kazi,mnyenyekevu,mfuatiliaji,mpenda watu wa rika zote
 
Toroka uje tukamtoe ........ niliona pale morogoro ila lowassa,ni mwamba wa siasa
 
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"

Ze dawa iz kuingialingi wewe tulia ze sundano ze kuvunjikia tulia ze ivohivo
 
Zipo tetesi kuwa Mwapachu, Kingunge, Sophia Simba, na mjumbe wa NEC arumeru wamefutwa Rasmi uwanachama wa CCM
Hii ni habari ina trending tweeter kwa kasi sana.

Hizi ni Habari njema sana.
 
Halinitete jamaa kashauriwa asvunje baraza lake wataaibika
 
Back
Top Bottom