Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

attachment.php
 
mhmh kazi kubwa sana ccm ni ishu wana wewe seka
 
Na bado! Hizi siku 24 zilizobaki ataondoka mpaka Pinda mliyesema hana maadili kama Januari
 
vumbi ni baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa, lakini hapo tutegemee nafasi ya sofia simba ya uwaziri mkuu atachaguo mtu kabla ya kuvunja baraza la mawaziri
 
Hatuhitaji kujadili tetesi jaribuni kuleta habari zilizothibitishwa.
mnashusha hadhi ya jukwaa.
 
Iteni mtakavyoita,sisi haturudi nyuma.
Mwalimu Nyerere alisema atakayeiangusha ccm atatoka ccm,
sasa ya mrema alishindwa sababu hakukuwepo twiter,whatsapp,instagram na jamii forum
hii ya mwaka huu hamchomoki,kila kijiji na vitongoji vyote
vinapata habari siku hiyo hiyo inapotoka na madish yamesambaa
nchi nzima watu wanaangalia TVs kwa kutumia solar,nakwambia
mafuriko yameishakuwa tsunami yanasomba hadi magari.
Nakushauri na wewe TOROKA UJE

Hawachomoki akina nani sasa?
 
Habari Mpasuko


Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.


Tutegemee kuyaona mengi!


Chanzo :Blog Habari

sasa tuone toroka uje na mchepuko siyo dili nani zaidi
 
CCM Bye..Bye...Bye...Unetutesa sana Pumzika kwa shida na upotee Kabisa Kwenye uso Wa Dunia.
 
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"
 
Back
Top Bottom