Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

unaanza kustuka ndipo unatoroka kuja....torokeni mjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mbona wanaotoka kwenye chama fulani makundi kwa makundi sijasikia wakiongelewa humu au hao sio wanachama?
 
Tayari zimevuja na kwa kujua hilo CCM ikawawahi kujifanya eti imewafukuza ili kuficha aibu. Lakini tayari walikuwa kwenye orodha ya TOROKA UJE ila wanausalama wa chama wakawah kuwatonya wakuu wa CCM na wamejifanya kuwahi kuwafukuza na kuwavua uanachama ili kuficha aibu. Lakini tayari walikuwa wameshatoka CCM tangu juzi jumatatu
Mnawajua?
Niwataje?
 
Kampeni maalumu ya kuwapokea wageni wetu inazinduliwa leo na The Great Lowassa. Ni kampeni maalumu ya kuwapokea wale wageni wetu tuliowambia wasubiri kwanza wasiwahi kutoka.

Sasa mwendo mdundo tetemeko kuu linazinduliwa leo.Wale wa nyumba ya jirani waandae maji ya kupoza presha.

Cc Lizaboni mzee wa new ⚠
 
Last edited by a moderator:
Nchimbi, sophia, kingunge, mwapachu, na john magufuli mwenyewe
 
CCM hivi karibuni baada ya wasanii Anti Ezekiel na Ray kuihama kambi ya UKAWA sasa CCM wamezindua kampeni inayoitwa Nimestuka kwa wale waliojiunga na UKAWA sababu eti UKAWA wamaisha.

Ukawa leo wanazindua kampeni inaitwa Toroka Uje.Hii ni kwamba wengi ndani ya CCM wamebanwa na maslahi na hofu ila wanaipenda CDM na UKAWA.Hata Magufuli ameshauriwa kutoroka aje UKAWA.

My take: Kama umestuka toroka Uje.

Je, wewe?

Pima mwenyewe, Timu moja inasajili juma nyoso (Aunt Nani sijui, na Ray), Vs Timu nyingine inamsajili CR7,Mess,(Balozi Mwapachu,Prof Mwandosya),!! Haihitaji Tensor ALGORITHM to manipulate this!
 
Back
Top Bottom