Sawa Mkuu Lakini Naomba Uniandikie Wewe Ili Siku Nyingine Nisikosee
Operation delete watu mizigo ndani ya CCM inaendelea, watafukuzwa wengi...tumechoka kulea uzembe na unafiki ndani ya chama,wahamie UKAWA mahali sahihi kwao
Leo Twampokea Magufuli
Tunahakikisha chama kinatoa takataka zote na Tingatinga ataweka kikosi kazi....Magufuli Oyeeeeee
Mkuu utakufa kwa kihoro ccm ndo hiyoo tunaizika hahahahaaaa.
Acha kutuharibia umetumwa nini.
Alafu umeme wamerudisha. Kweli hii ni toroka uje.
Ning'ate sikio madam, nani anakuja huyo tumuandalie matarumbeta?
Mabadiliko ya kupokea vigogo wa sisiemu ili wawaletee hayo mabadiliko?Tunaomba Mungu asimamie ukweli huu.
Mabadiliko hayakwepeki mwaka huu.
siku hiyo nashauri bendera ipepee nusu mlingoti watu wasifanye kazi siku tatu bar zigawe vinywaji bure kisha twende pale taifa na amri abeid kirumba mkwakwani,sokoine.na kote kwingineko kufanya sherehe kubwaaaa!!! na kuwavisha nishani za heshima walopigana front line nikiwemo mie.
safi sana..kama kweli itakua mwendelezo wa magamba kujibandua ccm na kujibandika chadema. bila shaka ccm huru kwa viongozi wala rushwa itakua imara zaidi.Habari Mpasuko!
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo: Blog Habari
Hivi jamani kwani baraza la mawaziri linavunjwa lini?
safi sana..kama kweli itakua mwendelezo wa magamba kujibandua ccm na kujibandika chadema. bila shaka ccm huru kwa viongozi wala rushwa itakua imara zaidi.