Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Mnyika anafanya Press Conference kutokea Ngome ya UKAWA Kawe Jijini Dar muda huu.

Mnyika:Katika Magazeti Yenu Jana mlimnukuu M/kiti wa TUME akijibu tuhuma za UKAWA juu ya mazingira ya wizi wa Kura

Mnyika: Jaji Lubuva Jana amejibu kwa wepesi tuhuma za wizi wa kura

Mnyika: Lubuva anasema ukishapiga kura rudi Nyumbani. Nawaomba vijana na wapiga kura wengine waipuuze kauli ya Jaji Lubuva!

Mnyika: Jaji Lubuva amedai yupo tayari kuziba mianya ya wizi wa kura.Nitataja mianya hiyo ili Jaji Lubuva ajibu masuala haya!

Mnyika: Matokeo ya Rais kubandikwa kituoni sio jambo jipya. Ni suala la kisheria. Nawaomba watu wasome sheria ya Uchaguzi

Mnyika: Masanduku ya kura kupelekwa kituo cha majumuisho sio jambo Jipya.

Mnyika:Lubuva anasema matokeo yatascaniwa jimboni.Hili sio jambo jipya. Mwaka 2010 matokeo yaliyoscaniwa yalikuwa tofauti na karatasi halisi

Mnyika: Jaji Lubuva aseme hadharani, ni lini wataalamu wetu wa IT wakakague na kuhakiki mfumo wa kutuma matokeo ili kuepuka goli la mkono

Mnyika: mfumo wa kujumlisha kura mwaka 2010 ulikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea uchakachuaji wa kura!

Mnyika: Jaji Lubuva amesema uhakiki umefungwa, kuna jambo kubwa limejificha.Kama hakuna uhakiki daftari limeshakuwa la kudumu!

Mnyika: Mpaka tunavyozungumza hatujakabidhiwa daftari la kudumu la wapiga kura, Takwimu zinazotolewa idadi ya wapiga kura haziaminiki!

Mnyika: Tume iseme ni kwa nini mpaka sasa hawajatoa nakala za "soft copies" kwa vyama vya siasa ili wazihakiki?Hapa bao la mkono limejificha

Mnyika: UKAWA na vyama vingine Lazima viende kuhakiki Database ya Tume Makao makuu. Kwanini Lubuva hataki sisi tuende kuhakiki?

Mnyika: Jaji Lubuva anasema ipo kamati ya IT, muulizeni hiyo kamati ya IT ya vyama vya siasa inaundwa na nani?

Mnyika: Majeshi kuandikisha namba za askari, IGP alikiri jeshi kufanya hivyo kwa baadhi ya mikoa, kuna kitu kimejificha!

Mnyika:IGP alikiri suala hili limefanyika, msemaji wa TPDF alikanusha, kauli zao zilikinzana.Tume iseme ni kwanini majeshi yaliandika namba?

Mnyika: Suala la kuhamisha watumishi wa Tume, limeamia kwa wakurugenzi baada ya Rais, kuteua mkurugenzi Mpya!

Maswali: David Radio5: Wapiga kura wa Mara ya kwanza, na wasiojua utaratibu je wanabakia wapi baada ya kupiga kura?

Mnyika: Wapiga kura, wawe makini kuhakikisha wanapiga kura Siku ya tarehe 25 Oktoba!

Mnyika: Daftari la kudumu halitolewi kwa wakati ili kuruhusu goli la mkono!

Mnyika: wapiga kura wajielekeze kuangalia majina ndani ya daftari la wapiga kura na sio orodha ya wapiga kura inayobandikwa nje ya kituo!

Mnyika: Orodha ya wapiga kura inayobandikwa nje ya kituo inaandaliwa na manispaa, na daftari analopewa wakala limeandaliwa na Tume

Mnyika: Tume itoe Daftari la kudumu la wapiga kura, Jaji Lubuva amesema atalitoa daftari Siku 4 kabla ya Uchaguzi, hapa amejichanganya!

Mnyika:Hatua ya pili ni kutoa 'permanent voter register' hili ilipaswa kutolewa mapema

Mnyika: Kuna madaftari mawili, provisional voter register, hili tulitakiwa kupewa kabla ya uhakiki wa wapiga kura, hili hatujapewa!

Mnyika: Rai yangu kwa wana UKAWA, wasikate tamaa kufuatia matamko ya mawaziri mbalimbali

Mnyika:Juu ya matumizi ya vyombo vya Serikali kujihusishanaUchaguzi, linaongozwa naraisi,Bunge limevunjwa ila baraza la mawaziri linaendelea

Mnyika: Iundwe kamati ya pamoja ya vyama vya siasa ya IT ikakague Daftari na kuliboresha ili kuzuia goli la mkono!

Mnyika: Swali la1: Tulianza kusema haya mambo mapema, waliamua kufumba masikio na macho!

Maswali:Fred kutoka Mtanzania: Kisheria mnatakiwa mpate soft copy ya Daftari baada ya Muda gani?

Maswali: Francis kutoka ATN: suala la uhakiki wa BVR hamuoni Siku zimebaki chache na kwanini msingeliibua suala hili mapema?

Mnyika: Tume iliwahi kukiri kuwa haiko huru mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, WaTZ wasikubali faster faster hii.

Mnyika: Wanapeleka huu mchakato faster faster, rai yangu tusisubiri tarehe 25 Oktoba, tuanze sasa kudhibiti goli la mkono!

Mnyika: Ndani ya nchi tunao watazamaji wasisubiri mpaka Uchaguzi uishe, waende Tume kutazama mfumo huu wa ujumlishaji wa kura

Mnyika: Nawaomba 'Waangalizi wa Uchaguzi' watoe ripoti zao mapema juu ya haya masuala!

Mnyika: Tume ya Uchaguzi sio Mali ya watu binafsi, ni tume ya Taifa letu.

Mnyika: Kijana ukishaona matokeo yamebandikwa, piga picha matokeo hayo na uyatume kwenye WhatsApp!

Mnyika: Kama kuna MTU ataniita mchochezi kwa kusema 'first time voters' wakae mita 200 kusubiria matokeo basi atangulie mahakamani,

Mnyika: First time voters, kukaa ndani ni kosa kisheria, kukaa nje si kosa kisheria, kisheria wanakaa mita 200!

Maswali: David Radio5: UKAWA mtafanya nini endapo tume haitafanya mnayosisitiza wafanye?

Mnyika: Nasisitiza BVR ni Bomu la kufungwa bao la mkono, yote tuliyosema yazingatiwe na wahusika!

Maswali: Prosper - The Guardian: Mnataka wataalamu wa IT wakakague daftari pekee, vipi kuhusu ukaguzi wa idadi ya kura zilizopigwa?

Mnyika: Kama Tume haitasikiliza haya tunayosema wanajitengenezea mazingira ya kupelekwa ICC!

Mnyika: Local monitors wa Uchaguzi wapo wachache, wanasubiria matokeo majimboni, kila mpiga kura lazim awe monitor!

Mnyika: Nje ya kituo cha kupiga kura sisi wapenda Amani, tutawalinda mawakala wetu, wasirubiniwe kupokea hongo ndani ya vituo vya Uchaguzi!

Mnyika: Marando alisema atatangaza matokeo, sasa kwa sababu anaumwa yupo hospitali Mimi Mnyika nitayatangaza.
 
Jamani Mnaotaka Update Muwe Na Subira,si Mnajua Mzee Anaongea Dk 3 Af Mkutano Unaisha,si Ajabu Wakaanza Sa 11:56 Jion Hivi
 
Katika Jina La Yesu, nakuamuru ufute kauli yako hii inayohatarisha taifa na vizazi vyake.

Mimi nimpenda mabadiliko na pengine ni mhanga wa ushetani wa ccm kuliko wewe, lakini suala la kuanza kutuhamisha kutoka ccm kwenda kwa shetani, ninalikataa katika Jina La Yesu.

Ninakuamuru ufute usemi wako huu na usirudie.

Ukikataa kwa kiburi au kutokujua, au kwa sababu yoyote ile, madhara yake yakupate wewe na watakao kushabikia.

Lakini katika Jina la Yesu, ninaiungama dhambi hii mbaya na kuu uliyoifanya kwa niaba ya Watanzania wote, tunaopigania ukombozi, wasiopigania, na vizazi vyetu vyote. Mungu atuondolee laana uliyoiumba kwa kusema haya na atukomboe sisi na vizazi vyetu kutoka katika adhabu ya laana uliyoitengeneza.

Ninaomba kila anayesoma haya aseme "Amina".

NINATOA ONYO KWA WANAOLEWA NA KUANZA KUROPOKA MANENO YA KISHETANI WATUBU NA WASIRUDIE TENA.

TULIANZA NA MUNGU, TUKO NA MUNGU NA TUTAENDELEA NA KUDUMU NA MUNGU. SHETANI HANA HAFASI.


"Hatutaki kufanya makosa walioyoyafanya watu wa Haiti ambayo yanawagharimu hadi leo, kwa uropokaji wa watu wajinga wachache taifa linaweza kuangamia".
Hakuna tatizo tukutane 25 nitatumia nguvu zote ccm lazima wakimbie kama hawata ondoka kwa amani baada ya kushindwa tutawakimbiza kwanguvu za miujiza!!
 
pale ambapo nchi inapoanza kushabikia vitu vya kijinga kuwabeba wajinga waje waendelee kufanya ujingaaa.... Lowasa tutakukumbuka kwa kuuua demokrasia nchini Tanzania,,,, Viva Lowasa Viva.
 
pale ambapo nchi inapoanza kushabikia vitu vya kijinga kuwabeba wajinga waje waendelee kufanya ujingaaa.... Lowasa tutakukumbuka kwa kuuua demokrasia nchini Tanzania,,,, Viva Lowasa Viva.

Ccm tutaikumbuka kwa kuua uchumi na kuiba rasilimali zetu na kupandisha twiga ndege.

Heri kuua democrasia kuliko kuua uchumi, nchi haina dira,haijui ifanye nini kwa wakati gani,viongoziwamekalia kulia lia kama wajawazito.

Lowassa ua demokrasia fufua uchumi, heri kuongozwa na dikteta kuliko ujinga huu wamataahira wa ccm.
 
Hawa jamaa walioleta thread hii kama wamedanganya wafungiwe kabisa...
kama ratiba imebadilika kutokana na taratibu zilizo nje ya uwezo wa binaadam tufanye vipi kukuridhisha program ipo kuwa mvumilivu tu tunao bado muda maana tarehe 25 bado ni mbali kidogo tuna ka muda !
 
Ccm tutaikumbuka kwa kuua uchumi na kuiba rasilimali zetu na kupandisha twiga ndege.

Heri kuua democrasia kuliko kuua uchumi, nchi haina dira,haijui ifanye nini kwa wakati gani,viongoziwamekalia kulia lia kama wajawazito.

Lowassa ua demokrasia fufua uchumi, heri kuongozwa na dikteta kuliko ujinga huu wamataahira wa ccm.

Ewaaaaa!! Viva Lowassa
 
Jina tu la kampeni, TOROKA UJE, yaonyesha ni wahuni tu! Alafu nashindwa waelewa ukawa, kwamba mmefurahi sana hawa wakongwe wa ccm ambao inasadikika wanakuja ukawa au? kina Kingunge na wenzake? HATARI sana, hii inaenda kukijenga tena chama cha ccm kwa kuondokana na wakongwe vigeugeu, ccm ingetingishika kama vijana kina Makamba, Kigwangala, Nchemba na wengine wangekuwa wanakuja huko, naona hawa wana ushawishi, au ingekuwa habari ya mujini kama Warioba angesema anajiunga ukawa, mpaka sasa kama kweli wanafika ukawa hao hizi ni point kwa ccm.


Soma tena ulichoandika.
Utajiona bonge la zuzu.
 
Nimepiga bear za kutosha apa najua kuna Wageni mpaka ss ziiiiii!!!!!! Hawa maccm apa bar wanachongaje!
 
Hivi hamtumii akili ndogo tu ,haiwezekani wagharamie mikutano miwili siku moja ,mnyika awe press release at the same time wafanye meeting nyingine separately.
Hawa vijana wa UKAWA hawana tena jipya zaidi ya kuwehusha watu ,na Lowasa ni kinara wa hizi sanaa ,mara mic mbovu wakati Lisu katumia hizohizo na alisikika ,mara tunaogopa stampede kwenye uwanja wa wazi na kupanga watu wa kujizimisha halafu eti mnasema mmeanza na mungu na mtamaliza na mungu ,
Nimeamini MCHAGGA kwenye hela anaweza ropoka lolote #5B
 
pale ambapo nchi inapoanza kushabikia vitu vya kijinga kuwabeba wajinga waje waendelee kufanya ujingaaa.... Lowasa tutakukumbuka kwa kuuua demokrasia nchini Tanzania,,,, Viva Lowasa Viva.
Nakumbuka shekh kwenye sara yake ya uzinduzi wa kampeni za ukawa alisema "watanzania tunalazimishwa kula mlo mmoja kama kiboko"
kumbe alikuwa sahihi,weka hilo kwenye historia,tuachie Lowasa wetu.
 
Back
Top Bottom