Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"
Si uandike kiswahili tu? 1. Elimu, 2. Elimu na 3. Elimu :third:
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"
Yaani Slaa habari zake zimekuwa za kuandikwa na gazeti la Sani! Ahahaha chezea siasa wewe kwishinie!!!!!
CCM Bye..Bye...Bye...Unetutesa sana Pumzika kwa shida na upotee Kabisa Kwenye uso Wa Dunia.
Si uandike kiswahili tu? 1. Elimu, 2. Elimu na 3. Elimu :third:
Je itarushwa na TV
Wadau wa JF naomba kuuliza ili kujua tangu jana nimeona watu wanaongelea hii new kampeni ya ukawa maarufu kama " TOROKA UJE" kuwa itazinduliwa leo Bahari Beach.
Naomba nijulishwe ni saa ngapi? na Je itarushwa Live?
Mwenye info atujuze jamaa ni tushuhudie Anguko la ccm. Asante.
Hata kwenye Biblia imeandikwa mtu anayeongea maneno meengi ni mwongo lowasa huwa hasemi sana anaongea kidogo tu ili asijeongea sana akadanganya.
Si uandike kiswahili tu? 1. Elimu, 2. Elimu na 3. Elimu :third:
Na nyie matajiri mnaojielewa wa ccm tunaenda kuwapokonya nchi yetu oct.25Na wasivyojitambua hao maskini washabiki wa Chadema maslahi wako bize kuchekelea mambo haya!