Teh teh teh one season wonder huyooooo...

Screenshot_20211208_010417_com.android.chrome_edit_70791707830343.jpg


YNWA
 
Tukumbushane ya jana.

Klopp made eight changes from the last-gasp win at Wolves on Saturday with only Alisson Becker, Salah and Sadio Mane retained in the starting line up.

Morton heading in the right direction

A full 90-minute performance for 19-year-old Tyler Morton in midfield, plus late European debuts for academy players 18-year-old Conor Bradley and Max Woltman, his first senior appearance, ensured it was a positive night for Liverpool's present and future.

The prolific Salah became the first Liverpool player since Ian Rush to score 20 goals in five successive seasons, also scoring the most goals for the club in the group stage of a European competition with seven.

Change of starting line up same result means Klopp system is working. Hard work and discipline pays in the end. Big statements from Nat Phillips and his fellow bench warmers. Ac Milan anaongoza ligi Italia lakini jana bila kikosi cha kwanza hakuweza kutudhuru.

In Klopp i trust.

YNWA
 
Hahaha kwa kikosi kile wapo salama aisee ugenini San Siro si mahala salama.

Yupo Origi haha jamaa wa matukio muhimu...

Anafunga goli lake la 4 Champions League. Kabla ya leo alikua na magoli 3. Goli 2 akiwafunga Barcelona pale Anfield wakati tunaelekea Wanda Metropolitano kuchukua ubingwa wa UCL 2019 na pia akawafunga Tottenham fainali UCL pale Wanda.

YNWA
Naona mwamba ametutendea tena haki jana.
 
Mwamba sioni January hii akiuzwa yupo 🔥 sanaaaa.

YNWA
mkuu humu ndani mushafungua dirisha jipya la usajili wa mashabiki, nimeshuhudia kuendelea kufundishwa kwa somo la ifahamu liverpool na wachezaji wake. Ombi langu kwenu naomba mumuongeze ollachuga katika list ya wanafunzi wapya, ni wiki ya tatu hii anaonekana jukwaa la wakenya kwenye battle ya nairobi.
 
Joel Matip.

Huyu mwamba amezaliwa Bochum Ujeremani.

Alizaliwa 18/8/1991 na kupewa majina Job Joel Andre Matip.

Wazazi ni Baba Jean Matip raia wa Cameron na Mamake Eva Maria Matip raia wa Ujeremani.

Amezaliwa na ndugu zake wawili ambao ni Rebecca Matip na Martin Matip.

Binamu wake Joseph Desire aliechezea Cameron.

Upande wa familia ya Mamake ni wasomi upande wa medical na upande wa Baba ni wapenzi wa mpira.

Alianza kusoma Gesamtshulle Berger Field School na baadae SC Weitmar 45 1995 mpaka 1997 kisa VFL Bochum 1997 mpaka 2000.

Akiwa na miaka 9 alijiunga na Schalke 04 baada ya kufanikiwa majaribio mwaka 2000.

Alicheza mechi yake ya kwanza kwa senior team ya Schalke O4 vs Bayern Munich mwaka 2009 na akapata tuzo ya MOTM.

Alikaa Schalke 04 misimu 7 akicheza mechi 258 na akifunga goli 23.

Klopp kwa mara ya kwanza aliona umwamba wa huyu jamaa mwaka 2012 walivyokutana Schalke 04 vs Dortmund fainali ya DFL Super Cup na Schalke 04 wakashinda.

Baada ya kucheza Schalke 04 kutoongeza mkataba na kutafuta new challenge. Saini yake ilikua adimu sana lakini simu moja tu ya Klopp alimshawishi ajiunge na majogoo wa Liverpool mwaka 2016 pindi mkataba wake ulivyoisha Schalke 04.

Key Poins Matip
*ni Mcameroon wa pili kuchezea Liverpool baaya ya Rigobert Song.

* Anacheza beki wa kati kulia.

* Aliwakilisha Cameron kombe la Dunia 2010 na 2014. Alicheza mechi 27 za Kimataifa akifunga goli 1.

* Alistaafu mechi za Kimataifa mwaka 2015.

* Assist yake ya dakika 87 kwa Origi alitupa ubingwa wa Ulaya fainali dhidi ya Tottenham pale Wanda Metropolitano.

* Akiwa Liverpool ameshinda
-UCL 2019.
-Super Cup 2019.
-Epl Trophy 2020.

* Ni jamaa asiependa makuu wala haishi maisha ya ki supa staa. Anaedesha gari ya kawaida tu Mercedes Benz sio special edition.

* Mwaka 2020 alimuoa mchumba wake wa miaka mingi Larissa Stollenwerk na mwaka huu 2021 wakapata mtoto wa kwanza June, a boy.

* Japo majeruhi hayachezi mbali na huyu mwamba Klopp bado anamwamini na ndio maana mkataba ni mrefu tu mpaka 2024 Juni. Alisaini upya 2019 huo mkataba.

* Rumoured Salary ni £100,000 kwa wiki.

* strength ni accuracy in passes, monster in aerial duels, fearless to put his body in danger.

* Ana miaka 30. Uzito ana kilo 90. Mara nyingi anatumia mguu wa kulia.

* Amecheza mechi 138 Liverpool akifunga magoli 6.

* Mwaka 2019, a Twitter account, "No Context Joel Matip" was created, which took clips of Matip's on-field antics and turned them into GIFs, memes and short videos. As of 2021, the account has over 68,000 followers, including Matip's team-mates Virgil Van Dijk and Alisson nk. Hii itaanza kumpa ela za matangazo huyu mwamba.


* Amecheza mechi 106 EPL akishinda 69 kupoteza 9 na kutoa sare 28. Akifunga magoli 5.

Huyo ndio Mwamba Joel aka Jimmy Matip in brief.

YNWA
Ebana hii umetupunja ....alikuwa anacheza beki vile vile ama!?
 
Back
Top Bottom