Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
The Last Pharaoh aka Egyptian Messi..

. Majina yake ni Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly.

. Amezaliwa 15/6/1992 Kijiji cha Nagrig eneo la Basyoun Egypt.

. Idol wake kwenye mpira ni Brazilian Ronaldo, Zinedine Zizou na Totti.

. Akiwa na miaka 7 alivutiwa kucheza mpira na hajawa kurudi nyuma tena.

. Alikua anakosa shule na kutembea kilomita 3 kufanya mazoezi.

. Alijiunga na Lttihad Basyoun mwaka 2004 na 2005.

. Mwaka 2005 2006 akajiunga na Othamason Tanta.

. Mwaka 2006 mpaka 2010 alijunga na El Arab Contractors akiwa na miaka 14 na kusaini mkataba wake wa kwanza..

. Mwaka 2012 alisaini Fc Basel ya Uswisi mpaka 2014.

. Mwaka 2014 alisaini Chelsea wakimnunua kwa £11m. Hakudumu Chelsea wakimpeleka kwa mkopo Fiortena mwaka 2015.

. Mwaka 2015 2016 alijunga na Roma kwa mkopo na kuwasaidia kumaliza Serie A nafasi ya pili msimu wake wa kwanza.

. Mwaka 2016 2017 Roma walimsaini kwa £15 japo ilitokea sintofahamu kati ya Roma na Fiortena ni nani alikua na haki ya kumnunua kesi ikiamuliwa kwamba Roma hawakua na kosa lolote.

. Juni 2017 Liverpool walitoa ofa ya £36.9mkwa Roma ikiwa na adds on mpaka £43m na wakafanikiwa kumsajili.

. Ndio mchezaji wa kwanza kutoka Misri kusajiliwa Liverpool.

. Klopp alimbadili kutoka natural winger na kumfanya awe forward na msimu wake wa kwanza akifunga magoli 32 ikiwa ni rekodi mpya ya EPL tangu kuanzishwa mechi 38 za Ligi. Msimu huo alishinda kiatu cha mfungaji bora.

.pia akawa mfungaji bora msimu wa 2018-2019. Ikiwa ni joint accolade.

.ni Runners Up UCl 2017-2018.

. Akiwa Liverpool ameshinda yafuatayo
  • UCL msimu wa 2019
  • Super Cup msimu wa 2019.
  • Club World Cup msimu wa 2019.
  • EPL trophy 2019 2020.

. Mchezaji bora Africa mwaka 2017.

.mchezaji bora Africa mwaka 2018.

. Ndio mchezaji aliefunga magoli mengi EPL kutoka Afrika akiwa na magoli 108 Liverpool na Chelsea akiwafungia 2.

.Alioa rafiki wake wa miaka mingi Magi Sadeq mwaka 2013 na amebarikiwa watoto wawili wa Kike, Makka Mohamed Salah na Kayan Mohamed Salah.

. Mshahara wake analipwa 200,000k kwa wiki akiwa amebakiza miezi 18 tu mkataba uishe Liverpool. Kwa mwaka analipwa mshahara wa usd 24m.

.Ana mikitaba mingi ya biashara kama vile Adidas, Falken, Vodafane, Tires, Uber nk na hizo endorsement zinamfanya awe 5 bora ya wachezaji wanaopata ela nyingi sana kwa mwaka huu 2021. Inasadika hizi endorsement anapata usd 13m kwa mwaka.

. Staili yake ya uchezangi ni quick, dribbling with speed, flexible, team player, accurate finisher na very composed even under pressure..

. Ana miliki magari ya kifahari kama vile Lamborgin, Toyota Camry, Audi Q7, Mercedes benz AMG, CLE Coupe, Mercedes Benz SLS, Mercedes Benz AMG Roadster. Nk.

YNWA
Ebana tuongeze na ya mwamba Joel matip..manake jamaa linapiga vyenga kama li-brazil alaf haliringi Yan!
 
Skipper unamuweke namba ngapi hapo?
😂😂😂😂😂Aaa wapi hao hao wanatosha Skipper atapewa na akina Pearce nk binafsi nasema huyu anatembeaga nyota ya wengine kwa sasa ni Fabinho na Thiago ndio wanafanya angalau aonekana...

Kwenye kila kikosi you need bodies, runners, 'shouters' na kwa hili Le Captain nampa nafasi ya kwanza. Klopp kwake ana mix his energy with skills za akina Fabby na Thiago and he get a complete package..

YNWA
 
Aaa wapi hao hao wanatosha Skipper atapewa na akina Pearce nk binafsi nasema huyu anatembeaga nyota ya wengine kwa sasa ni Fabinho na Thiago ndio wanafanya angalau aonekana...

Kwenye kila kikosi you need bodies, runners, 'shouters' na kwa hili Le Captain nampa nafasi ya kwanza. Klopp kwake ana mix his energy with skills za akina Fabby na Thiago and he get a complete package..

YNWA
Mkuu nasubiri uendelee na uchambuzi
 
Mkuu nasubiri uendelee na uchambuzi
Joel Matip.

Huyu mwamba amezaliwa Bochum Ujeremani.

Alizaliwa 18/8/1991 na kupewa majina Job Joel Andre Matip.

Wazazi ni Baba Jean Matip raia wa Cameron na Mamake Eva Maria Matip raia wa Ujeremani.

Amezaliwa na ndugu zake wawili ambao ni Rebecca Matip na Martin Matip.

Binamu wake Joseph Desire aliechezea Cameron.

Upande wa familia ya Mamake ni wasomi upande wa medical na upande wa Baba ni wapenzi wa mpira.

Alianza kusoma Gesamtshulle Berger Field School na baadae SC Weitmar 45 1995 mpaka 1997 kisa VFL Bochum 1997 mpaka 2000.

Akiwa na miaka 9 alijiunga na Schalke 04 baada ya kufanikiwa majaribio mwaka 2000.

Alicheza mechi yake ya kwanza kwa senior team ya Schalke O4 vs Bayern Munich mwaka 2009 na akapata tuzo ya MOTM.

Alikaa Schalke 04 misimu 7 akicheza mechi 258 na akifunga goli 23.

Klopp kwa mara ya kwanza aliona umwamba wa huyu jamaa mwaka 2012 walivyokutana Schalke 04 vs Dortmund fainali ya DFL Super Cup na Schalke 04 wakashinda.

Baada ya kucheza Schalke 04 kutoongeza mkataba na kutafuta new challenge. Saini yake ilikua adimu sana lakini simu moja tu ya Klopp alimshawishi ajiunge na majogoo wa Liverpool mwaka 2016 pindi mkataba wake ulivyoisha Schalke 04.

Key Poins Matip
*ni Mcameroon wa pili kuchezea Liverpool baaya ya Rigobert Song.

* Anacheza beki wa kati kulia.

* Aliwakilisha Cameron kombe la Dunia 2010 na 2014. Alicheza mechi 27 za Kimataifa akifunga goli 1.

* Alistaafu mechi za Kimataifa mwaka 2015.

* Assist yake ya dakika 87 kwa Origi alitupa ubingwa wa Ulaya fainali dhidi ya Tottenham pale Wanda Metropolitano.

* Akiwa Liverpool ameshinda
-UCL 2019.
-Super Cup 2019.
-Epl Trophy 2020.

* Ni jamaa asiependa makuu wala haishi maisha ya ki supa staa. Anaedesha gari ya kawaida tu Mercedes Benz sio special edition.

* Mwaka 2020 alimuoa mchumba wake wa miaka mingi Larissa Stollenwerk na mwaka huu 2021 wakapata mtoto wa kwanza June, a boy.

* Japo majeruhi hayachezi mbali na huyu mwamba Klopp bado anamwamini na ndio maana mkataba ni mrefu tu mpaka 2024 Juni. Alisaini upya 2019 huo mkataba.

* Rumoured Salary ni £100,000 kwa wiki.

* strength ni accuracy in passes, monster in aerial duels, fearless to put his body in danger.

* Ana miaka 30. Uzito ana kilo 90. Mara nyingi anatumia mguu wa kulia.

* Amecheza mechi 138 Liverpool akifunga magoli 6.

* Mwaka 2019, a Twitter account, "No Context Joel Matip" was created, which took clips of Matip's on-field antics and turned them into GIFs, memes and short videos. As of 2021, the account has over 68,000 followers, including Matip's team-mates Virgil Van Dijk and Alisson nk. Hii itaanza kumpa ela za matangazo huyu mwamba.

* Amecheza mechi 106 EPL akishinda 69 kupoteza 9 na kutoa sare 28. Akifunga magoli 5.

Huyo ndio Mwamba Joel aka Jimmy Matip in brief.

Nimefurahi aiseee kumjua mwamba

Niliona mechi ya juzi,
Ana style fulahi hivi ya kucheza unique .

Natamani uendelee mkuu,comments zako nazisubiri mithili ya abiria anayesubiri gari stand.
 
Joseph Desire Job????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom