Hivi wamiliki wa timu nyingine hawajaomba msamaa
Wamebaki wanne tu
175467166_184374653505742_4360957699965554155_n.jpg
 
Hakuna news naisubiri kusukia nione mane mawili
"Liverpool sold"..

Wauze hawa jamaa hovyo on european sport business
Liverpool na Utd ni british heritage, ni sawa tu na royal family yao!

hata siku moja hawawezi kuruhusu hizi timu zilimikiwe na Russian or Arabs, haitakaa itokee.......

zitaendelea kuwa chini ya yankies au brit wenyewe,
 
Perez kapigwa chenga ya mwili
Hii issue team za spain zilihiitaji sana kuliko team team za england

Waingereza wanapenda sana tradition yao everybody alikuwa yuko against na hii esl ni tofauti na kule spain na italia ukitoa body za ligi na vyama vya mpira hkuna wangine ambao waliliongelea au kulipinga
Team za Spain hasa Madrid na Barca madeni makubwa sana na sababu walitawala sana wenzao kwa kutoa mishahara mikubwa sababu walikuwa katika La liga wanauza haki zao za TV wenyewe baada ya sheria kubalishwa wagawane usawa na wenzao sasa bado wakabaki kuishi katika ndoto za zamani hawakutaka kukata matumizi yao njia ni hii super league kupata kwa kuzitumia team za EPL, sasa kama wao wakubwa tuone sasa watuachie EPL yetu na CPL, league gani wanataka kuanzisha kama kualikana harusini ujinga mtupu.
 
Mmiliki wa Liverpool John W Henry amewaomba msamaha mashabiki,wachezaji, na wafanyakazi wa timu hiyo kwa maamuzi yake ya kuipeleka timu hiyo kwenye michuano ya European Super League ambayo sasa imeanguka mara baada ya kupingwa vikali."

Kwa usnitch aliowafanyia watamrudisha marekani huyuView attachment 1759158
Too late tuachie team yetu
 
Huyu Auba naye tumechoka mimi mtu akinitukana mtandandaoni na mimi namtuka siji kulia huku, mtu akiniita mweusi na kweli mweusi namtukana na yeye zeruzeru jeupe tusi kwa tusi akinita nyani namtukania Mama yake nyani pia wala siogopi hilo hakuna kulialia mitandandaoni simama strong na jivunie rangi yako au kabila yako. Tunabaki kulia lakini sisi kwa sisi kazi kuitana Niga wangu huyu na tunacheka. Tusi kwa tusi kama hutaki kujibu basi potezea. Mambo ya Covid tumechoka tuacheni tupumzike inatosha.
 
Developing News..

BREAKAWAY CLUB CHIEFS ASKED TO STEP DOWN IN PL MEETING

Sky News has learnt that Richard Masters, the Premier League chief executive, contacted executives today including Bruce Buck, the Chelsea chairman, and Vinai Venkatesham, Arsenal chief executive, to request that they relinquish their roles on the working groups.

Club sources told Sky News that Mr Buck, who is a member of the Premier League's audit and remuneration committee, and Mr Venkatesham, who sits on the Club Strategic Advisory Group (CSAG), had been asked by Mr Masters to step down voluntarily or face being removed against their will.

Ferran Soriano, who runs Manchester City, was also asked to step down from CSAG, according to insiders.

The Premier League is also seeking the removal of the Manchester United and Liverpool executives Ed Woodward and Tom Werner from its Club Broadcast Advisory Group, the sources told Sky News.

The Premier League's request to the executives to step down from key working groups followed a meeting between the 14 other 'shareholders', in which they expressed bitterness at the duplicity of the clubs which had been in secret talks to join the Super League.

At least one of the club executives asked to step down today is said to have reacted angrily to the suggestion.

Masters is understood to have sought a voluntary decision from the big six executives but warned that they risked being forcibly removed from the working groups if they did not agree to step down.

After Sky News revealed details of the Super League negotiations last October, Mr Woodward told Wall Street analysts that he was unaware of the project and that his attention was focused on reforming existing European club competitions.

Duuh kama mbaya iwe mbaya hakuna noma. We need harmony to guys who are CEOs of this clubs sio greedy fat wallet guys who think they own everything forgetting they are just keepers.

YNWA
 
Team za Spain hasa Madrid na Barca madeni makubwa sana na sababu walitawala sana wenzao kwa kutoa mishahara mikubwa sababu walikuwa katika La liga wanauza haki zao za TV wenyewe baada ya sheria kubalishwa wagawane usawa na wenzao sasa bado wakabaki kuishi katika ndoto za zamani hawakutaka kukata matumizi yao njia ni hii super league kupata kwa kuzitumia team za EPL, sasa kama wao wakubwa tuone sasa watuachie EPL yetu na CPL, league gani wanataka kuanzisha kama kualikana harusini ujinga mtupu.
Hembu tupe hii list mkuu tuone na sisi
 
Scottish giants Rangers and Celtic are wanted to join a British Super League, which would reportedly be 'backed by Fifa, Uefa and the UK Government.' [sun] #mufc
 
Bye Bye European Super League... Poor Real Madrid and Barcelona na walivyo tee mbona ishu jamaa.

The last nail in the European Super League coffin? JP Morgan PULL their £3.5BILLION backing of the doomed breakaway and say they 'misjudged' it after English clubs pulling out saw their sustainability rating get downgraded to 'NON-COMPLIANT'

YNWA
 
Perez kapigwa chenga ya mwili
Hii issue team za spain zilihiitaji sana kuliko team team za england

Waingereza wanapenda sana tradition yao everybody alikuwa yuko against na hii esl ni tofauti na kule spain na italia ukitoa body za ligi na vyama vya mpira hkuna wangine ambao waliliongelea au kulipinga
Gary Neville aliuliza hivi kwa mfano hawa mabilionea wa Manchester City kweli nao walijiunga kutaka ela maana kama ni pesa wanazo za kutosha au pia mmiliki wa Chelsea nae kafuata ela ama waliunga tela kufuata upepo.

Ukweli ni kwamba hii dili ilikwa inawa favour zaidi timu za Spain kuliko EPL.

Ila ndio hivyo wenye timu zao wamesema hawataki na hawataki na hatimae wawekezaji akina Stan, Werner, Glazer wamefyata kimyaaaaaaaaa.

YNWA
 
Gossip Watch.

Ibrahima Konaté to Liverpool, here we go soon! The deal is set to be completed, personal terms agreed on a five-years contract.

Liverpool will pay the release clause to RB Leipzig in the next days [around €35m] in order to finalize the signing of Konaté. ? #LFC https://t.co/N4OWqqXiGu

— Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) April 23, 2021

Romano ni trusted source hivyo hii itakua kweli.

FSG hawataki utani mapema wanafanya yao haha mashabiki wanataka vichwa vyao lol...

Watuletee Mbappe, Fekir na Yves na Halland 😂😂🙆🏿 na yaani tunatulia kabisa na kusahau wametukwaza.

YNWA
 
Gossip Watch.

Ibrahima Konaté to Liverpool, here we go soon! The deal is set to be completed, personal terms agreed on a five-years contract.

Liverpool will pay the release clause to RB Leipzig in the next days [around €35m] in order to finalize the signing of Konaté. ? #LFC https://t.co/N4OWqqXiGu

— Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) April 23, 2021

Romano ni trusted source hivyo hii itakua kweli.

FSG hawataki utani mapema wanafanya yao haha mashabiki wanataka vichwa vyao lol...

Watuletee Mbappe, Fekir na Yves na Halland na yaani tunatulia kabisa na kusahau wametukwaza.

YNWA
Signing za JK zinanikosesha amani. Mpaka waingie kwenye system sio mapema. Tuombe iwe kama VVD SALAH JOTA MANE GINI.
 
Liverpool squad to face Newcastle.
1
A Ramses Becker
66
T Alexander-Arnold
3
Fabinho
19
O Kabak
26
A Robertson
6
Thiago
5
G Wijnaldum (c)
11
M Salah
20
D Jota
10
S Mané
9
R Firmino
Substitutes
7
J Milner
8
N Keita
13
Adrián
15
A Oxlade-Chamberlain
17
C Jones
21
K Tsimikas
23
X Shaqiri
46
R Williams
76
N Williams

YNWA
 
Back
Top Bottom