The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,612
Gomez ndio back up wa Trent.
Partner wa VVD atakua Kanoute.
YNWA
Kabak basi tena?
Gomes huko pembeni ana shida sana
Bora akicheza centre back
Gomez ndio back up wa Trent.
Partner wa VVD atakua Kanoute.
YNWA
HahahahahahahahahahahahahahaRasmi Chelsea na Leicester watuachie njia tupite pale juu![]()
Tehe tehe teheRasmi Chelsea na Leicester watuachie njia tupite pale juu![]()
Sio mnamuangusha klopp? maana game ya leo angekuwa mwalimu wa shule viboko vingewahusu wachezaji wa liverpool, mmedraw kizembe sana hata mimi Arsenal fan nimeumiaKama tunakubali au tunakataa lakini ukweli ni kwamba hii Timu inamuangusha Salah
Sijui ungecomment vipi leo kama jana mngeshinda..Sio mnamuangusha klopp? maana game ya leo angekuwa mwalimu wa shule viboko vingewahusu wachezaji wa liverpool, mmedraw kizembe sana hata mimi Arsenal fan nimeumia
Klopp is shaping this season end downfall.Game ya pili sasa tunaruhusu goli jioni kabisa. Against Leeds tulifungwa dk 85. Leo dk za majeruhi. Hii game tutaijutia sana.
Kwa mwendo huu hata futuhi tunaweza tusipate.
Klopp leo kaja na formation nyingine. Sikuwahi kuiona kabla.4-2-3-1. Bobby akiwekwa kama mmaliziaji pale juu. Mane,Jota,na Salah wakitengeneza ule utatu tuliouzoea. Ginni na Thioago wakikishika kiungo.
Liverpool tuna mmiss sana captain, hizi ndio game zake. Angekuwepo wallah tugepata alama 3.
Tumeipenda wenyewe, hamna namna ni yetu.
Kabak maamuzi yake bado na huku dili la Kanoute tayari.Kabak basi tena?
Gomes huko pembeni ana shida sana
Bora akicheza centre back
At tight angle kafunga ila zile za wazi kakosa aafu hawa ndio wanadai walipwe kama Messi na Ronado khaaa.1st goal. salahView attachment 1762494
At tight angle kafunga ila zile za wazi kakosa aafu hawa ndio wanadai walipwe kama Messi na Ronado khaaa.
Safari bado sana.
YNWA
Haiwezekani....hivi wewe una miaka mingapi unaisikilizia CL?Miaka 30 loading
Kwa kasi ya chanjo wanavyokwenda nayo naona msimu ujao mashabiki wapo uwanjani.natamani warudishe mashabiki uwanjani ili team zipate morali na wachezaji wapate motisha ya kelele zao ili waache uzembe
Mkuu hakuna njia ya Liverpool kusimama tena zaidi ya kusubili miaka 30 ...Haiwezekani....hivi wewe una miaka mingapi unaisikilizia CL?







Tunaongelea mechi ya Liver wewe unaleta habari za jana, wabongo bwana tunafeli wapi!Sijui ungecomment vipi leo kama jana mngeshinda..
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app