Wamebaki wanne tuHivi wamiliki wa timu nyingine hawajaomba msamaa
Liverpool na Utd ni british heritage, ni sawa tu na royal family yao!Hakuna news naisubiri kusukia nione mane mawili
"Liverpool sold"..
Wauze hawa jamaa hovyo on european sport business
Team za Spain hasa Madrid na Barca madeni makubwa sana na sababu walitawala sana wenzao kwa kutoa mishahara mikubwa sababu walikuwa katika La liga wanauza haki zao za TV wenyewe baada ya sheria kubalishwa wagawane usawa na wenzao sasa bado wakabaki kuishi katika ndoto za zamani hawakutaka kukata matumizi yao njia ni hii super league kupata kwa kuzitumia team za EPL, sasa kama wao wakubwa tuone sasa watuachie EPL yetu na CPL, league gani wanataka kuanzisha kama kualikana harusini ujinga mtupu.Perez kapigwa chenga ya mwili
Hii issue team za spain zilihiitaji sana kuliko team team za england
Waingereza wanapenda sana tradition yao everybody alikuwa yuko against na hii esl ni tofauti na kule spain na italia ukitoa body za ligi na vyama vya mpira hkuna wangine ambao waliliongelea au kulipinga
Too late tuachie team yetuMmiliki wa Liverpool John W Henry amewaomba msamaha mashabiki,wachezaji, na wafanyakazi wa timu hiyo kwa maamuzi yake ya kuipeleka timu hiyo kwenye michuano ya European Super League ambayo sasa imeanguka mara baada ya kupingwa vikali."
Kwa usnitch aliowafanyia watamrudisha marekani huyuView attachment 1759158
Huyu Auba naye tumechoka mimi mtu akinitukana mtandandaoni na mimi namtuka siji kulia huku, mtu akiniita mweusi na kweli mweusi namtukana na yeye zeruzeru jeupe tusi kwa tusi akinita nyani namtukania Mama yake nyani pia wala siogopi hilo hakuna kulialia mitandandaoni simama strong na jivunie rangi yako au kabila yako. Tunabaki kulia lakini sisi kwa sisi kazi kuitana Niga wangu huyu na tunacheka. Tusi kwa tusi kama hutaki kujibu basi potezea. Mambo ya Covid tumechoka tuacheni tupumzike inatosha.
Hembu tupe hii list mkuu tuone na sisiTeam za Spain hasa Madrid na Barca madeni makubwa sana na sababu walitawala sana wenzao kwa kutoa mishahara mikubwa sababu walikuwa katika La liga wanauza haki zao za TV wenyewe baada ya sheria kubalishwa wagawane usawa na wenzao sasa bado wakabaki kuishi katika ndoto za zamani hawakutaka kukata matumizi yao njia ni hii super league kupata kwa kuzitumia team za EPL, sasa kama wao wakubwa tuone sasa watuachie EPL yetu na CPL, league gani wanataka kuanzisha kama kualikana harusini ujinga mtupu.
Gary Neville aliuliza hivi kwa mfano hawa mabilionea wa Manchester City kweli nao walijiunga kutaka ela maana kama ni pesa wanazo za kutosha au pia mmiliki wa Chelsea nae kafuata ela ama waliunga tela kufuata upepo.Perez kapigwa chenga ya mwili
Hii issue team za spain zilihiitaji sana kuliko team team za england
Waingereza wanapenda sana tradition yao everybody alikuwa yuko against na hii esl ni tofauti na kule spain na italia ukitoa body za ligi na vyama vya mpira hkuna wangine ambao waliliongelea au kulipinga
Signing za JK zinanikosesha amani. Mpaka waingie kwenye system sio mapema. Tuombe iwe kama VVD SALAH JOTA MANE GINI.Gossip Watch.
Ibrahima Konaté to Liverpool, here we go soon! The deal is set to be completed, personal terms agreed on a five-years contract.
Liverpool will pay the release clause to RB Leipzig in the next days [around €35m] in order to finalize the signing of Konaté. ? #LFC https://t.co/N4OWqqXiGu
— Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) April 23, 2021
Romano ni trusted source hivyo hii itakua kweli.
FSG hawataki utani mapema wanafanya yao haha mashabiki wanataka vichwa vyao lol...
Watuletee Mbappe, Fekir na Yves na Halland na yaani tunatulia kabisa na kusahau wametukwaza.
YNWA
Bwana wee kwa vile atapata pre season tuwe positive atakua initiated kwenye kikosi mapema tu...Signing za JK zinanikosesha amani. Mpaka waingie kwenye system sio mapema. Tuombe iwe kama VVD SALAH JOTA MANE GINI.