thats why wanataka ku-protect status quo,.......
in reality mechi zinazoingia pesa mingi CL ni zile za wakubwa tu na sio hawa kina atalanta sijui spurs sijui wofsburg n.k........ sasa inakuaje wao waingize pesa mingi halafu mgawo wapate sawa.? au wazidiwe kisa tu hawajafuzu hatua inayofuata.....?
ndio mana nakwambia watashinda hii vita coz they have power, ukitaka kuthibitisha hili just imagine EPL bila liver, utd, arsenal, Chelsea kama kuna mtu ataenda kibanda umiza kutazama, au kama kuna kampuni itaweka pesa zake bila hao miamba kuwepo........
au just imagine CL bila Liver, utd, juve, Ac, madrid, Barca kama kuna kampuni itaweka pesa zake, si itageuka europa nyingine tu hii........ thats why hawa vigogo hawawezi kuadhibiwa and they will get their way!
hata FIFA hawawezi kusema lolote zaidi ya hizi kelele wanazofanya, maana nani atawekeza pesa kwenye mashindano yao wakati wachezaji wakubwa wote hawashiriki? nani atataka kujihusisha nao wakati majina makubwa ya wachezaji yamekua banned.......?