Hendo na Wijnaldum ndo mids unategemea kumiliki mpira?Tuna matatizo makubwa kwenye viungo timu yetu haikai ni mpira kabisa!
Tunashukuru mane yupo lasivyo tungeongea mengine hapa.huyu jamaa hata asipofunga goli uwepo wake ndani ya uwanja ni robo ya ushindi kwetu.
Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,
Sadio... Yaaaaaahhh
Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu
Henderson
Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,
Sadio... Yaaaaaahhh
Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu
Henderson
Kileleni hutapaona kama ambavyo huwezi kuiona k, yamama mkwe.Mimi sifurahi mpaka siku tutakayoziondosha zile Kima za Godison Park pale kileleni.
Mimi sifurahi mpaka siku tutakayoziondosha zile Kima za Godison Park pale kileleni.
Kuna shambulizi fulani niliona mane yupo kwenye position nzuri ya kufunga yeye akapiga impossible angle.Kuna muda Salah ni mtu wa Ajabu sana.
Lakini mkuu lile birigi la Sarpong si unalijua lakini, na mpaka ameweka rekodi ya mchezaji anayeongoza kwa kuchafuka duniani wakati wenzake wanaoňgoza kwa magoliYani katika kumbukumbu zangu sijawahi kukuona kusifia usajili wa Chelsea kwa mchezaji yoyote yule! Ulianza kumuandama Kepa kuwa ni Shati mpaka akawa Shati kweli, sasahivi umeshakuja na Germany Sarpong
Tuna imani na Fabihno mkuu..Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,
Sadio... Yaaaaaahhh
Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu
Henderson
Huyo mzoeeni hivyo hivyo ndugu... Japo anatoa assist lakini zile ambazo hatoi naona ndio nyingi 😀😀😀😀..Kuna shambulizi fulani niliona mane yupo kwenye position nzuri ya kufunga yeye akapiga impossible angle.
Lakini mkuu lile birigi la Sarpong si unalijua lakini, na mpaka ameweka rekodi ya mchezaji anayeongoza kwa kuchafuka duniani wakati wenzake wanaoňgoza kwa magoli
Umelewa mafanikio cyo???unashindwa kukumbuka tulikuwa tunashindwa hata kuingia uefa??Huu ni utopolo yani tunashinda huku tukiwa mbele Michezo halafu hatuwezi kukaa kileleni
Thiago Jota tenaTuna kikosi kizuri kwa majina 2 Sisi bhana Thiago Jota ya Yule beki mpya Yuko wap?
Tulia uandike vizuri.au unakimbizwa???Tuna kikosi kizuri kwa majina 2 Sisi bhana Thiago Jota ya Yule beki mpya Yuko wap?
Leo Southampton anawala kichwa.