Bobby kawa tia maji
Hendo tia maji
Gomez tia maji

Duh
Hii game AB anatufichia aibu tu ila tuko weupe sana mkuu au me naona vibaya
Hapana ndugu hatupo vizuri na mtihani uliopo kwa wiki tu nacheza mechi 2 hivyo hata muda wa Klopp kuweka mambo sawa ni finyu kweli kweli...

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom