Nafikiri hii liverpool halisi ni kikundi cha wahuni, hakuna timu duniani inaitwa jina hiliWestham will be very hard to beat
Lkn Klopp yupo,atawaandaa vijana vyema!
Liverpool HALISI tuendelee kuwa zaidi na team kwa jema na baya
Sasa tunapambana Everton na Villa tuwaache mbali
Mungu awe nasi,Insha'Allah
.🤣🤣🤣🤣 Kwa mujibu wa kiongozi wao Inaonekana ipo mkuuNafikiri hii liverpool halisi ni kikundi cha wahuni, hakuna timu duniani inaitwa jina hili
Huyo tumeshamzoea mkuu huna haja ya kujibishana nae .Nafikiri hii liverpool halisi ni kikundi cha wahuni, hakuna timu duniani inaitwa jina hili
Nafikiri hii liverpool halisi ni kikundi cha wahuni, hakuna timu duniani inaitwa jina hili
Sawa boss,Westham will be very hard to beat
Lkn Klopp yupo,atawaandaa vijana vyema!
Liverpool HALISI tuendelee kuwa zaidi na team kwa jema na baya
Sasa tunapambana Everton na Villa tuwaache mbali
Mungu awe nasi,Insha'Allah
Hukuweka "na" hakiki post yako. Thiago na joto km c shabiki wa Liver hutojua
WWA ndio nini tenaSawa boss,
WWA
We'll Walk AloneWWA ndio nini tena
Tabu sana. Kwa mujibu wa kiongozi wao Inaonekana ipo mkuu
Kuna mtu mmoja tu mm nafikiri atakuwa anaongoza kikundi cha wahuniLiverpool halisi imetokea wapi tena jamani Kops?