Adjustments.jpg
 
Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,

Sadio... Yaaaaaahhh

Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu

Henderson

Hatumtegemei Mkuu next weekend matip anarudi kwenye namba yake. Kukosekana Kwa vvd ni tatizo maana beki wengine kila Baada ya mechi wanaumia.sasa hapo fabihno lazima arudi kusaidia akiumia na huyo Henderson atarudi kucheza beki hapo nyuma.
 
Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,

Sadio... Yaaaaaahhh

Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu

Henderson

Yani katika kumbukumbu zangu sijawahi kukuona kusifia usajili wa Chelsea kwa mchezaji yoyote yule! Ulianza kumuandama Kepa kuwa ni Shati mpaka akawa Shati kweli, sasahivi umeshakuja na Germany Sarpong 😀😀
 
Yani katika kumbukumbu zangu sijawahi kukuona kusifia usajili wa Chelsea kwa mchezaji yoyote yule! Ulianza kumuandama Kepa kuwa ni Shati mpaka akawa Shati kweli, sasahivi umeshakuja na Germany Sarpong
Lakini mkuu lile birigi la Sarpong si unalijua lakini, na mpaka ameweka rekodi ya mchezaji anayeongoza kwa kuchafuka duniani wakati wenzake wanaoňgoza kwa magoli
 
Kama ndio huyu fabinho mnamtegemea kama CB basi yajayo yanasikitisha, ni mweupe mno,

Sadio... Yaaaaaahhh

Jota alikuwa anajibu maswali ya wengi kwanini JK alimuacha German Sarpong kwa ajili yake, kasi+akili+nguvu

Henderson
Tuna imani na Fabihno mkuu..

Kutoka kucheza DM mpaka kuja kucheza RCB na ni mechi ya nne jana amecheza hapo bila kupoteza wala kutoa draw woow boy has talent..

Kwani Mkuu DullyJr ukiwa Fabby au D. Luiz acheze CB timu yako utamchukua nani...

Jota taarifa zake unazo huyu ndie new CR7 and mind you boy is 23yrs old..

Hendo playing now like a real Captain sio yule mediocre wa zamani..

YNWA
 
Kuna shambulizi fulani niliona mane yupo kwenye position nzuri ya kufunga yeye akapiga impossible angle.
Huyo mzoeeni hivyo hivyo ndugu... Japo anatoa assist lakini zile ambazo hatoi naona ndio nyingi 😀😀😀😀..

Tangu ametua kwetu huu ni msimu wa nne ana magoli 81 EPL na assit 29 vilee.. Huku akiwa amecheza mechi 127..

Mechi zote ana magoli 100 na around assist 42 overall...

YNWA
 
Back
Top Bottom