Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,943
Nlkua nakuamni sanaTuko hapa leo..
It's going down tonight
Nlkua nakuamni sanaTuko hapa leo..
It's going down tonight
Nimeona wameanza kujipa matumaini eti mechi za Carabao huwa hamna mpango nazo kwa hiyo mtawaachia.Klopp boys has matured how to squeeze any opponent and get the deserved points when its matters...
Arsenal bado sana wanahitaji muda wa kujenga kikosi aafu ndio waanze mipango ya kuusaka ubingwa kwa sasa target yao iwe big 4..
Wakimpata Housem ama Partey watakua wanazidi kujiimarisha na kuleta ushindani mkali EPL...
Wenzio tunasonga mbele..
Wiki hii tunao tena Carabao hivyo burudani inaedelea..
YNWA
So,kwa sasa huniamini mkuu?..tatizo nini braza?Nlkua nakuamni sana
Hahaha msimu huu kwa vile kikosi ni kipana haswa tuna wachezaji kama 30 hivi hivyo tunahitaji hizi Mickey Mouse trophies ili wachezaji wote wawe na dakika uwanjani...Nimeona wameanza kujipa matumaini eti mechi za Carabao huwa hamna mpango nazo kwa hiyo mtawaachia.
Haha..
Muhimu kuwakazia ili akili ziwakae sawa. Zile mechi za Final ya FA pamoja na Community Shield zikawaaminisha wamekamilika sasa wanaweza kumpa jeuri yoyote wanasahau maisha kufika ni mbali safari bado ni ndefu.Hahaha msimu huu kwa vile kikosi ni kipana haswa tuna wachezaji kama 30 hivi hivyo tunahitaji hizi Mickey Mouse trophies ili wachezaji wote wawe na dakika uwanjani...
Carabao wanalala tena hakuna namna..
Mikel bado ni amateur coach ana safari ndefu dalili sio mbaya kwake ila awe realistic anachokitaka je big 4 ama Mickey cups..
YNWA
Mwisho wa siku tunakaa chini kila mtu ahesabu alichovuna,Muhimu kuwakazia ili akili ziwakae sawa. Zile mechi za Final ya FA pamoja na Community Shield zikawaaminisha wamekamilika sasa wanaweza kumpa jeuri yoyote wanasahau maisha kufika ni mbali safari bado ni ndefu.
Kwa kubebwa kunusurika na redcard?Haha..
My Man of the match was Saido Mane..
Mdogo mdogo rhythm inarudi...
Hakuna raha kama ku control intensity na rhythm ya gemu inatupa upper hand muda gani we switch on the attack gear na muda upi we cool down...
YNWA
Timu yenu bado sana, tukiacha ushabiki...Hahaha msimu huu kwa vile kikosi ni kipana haswa tuna wachezaji kama 30 hivi hivyo tunahitaji hizi Mickey Mouse trophies ili wachezaji wote wawe na dakika uwanjani...
Carabao wanalala tena hakuna namna..
Mikel bado ni amateur coach ana safari ndefu dalili sio mbaya kwake ila awe realistic anachokitaka je big 4 ama Mickey cups..
YNWA
Labda kama hujaangalia mpira, ila nyie bado sąna,Hayahayaaaaa
Nadhani darasa huru linaendelea
Asenane wamefunga mdomo kabisa
Hapana hapa umeamua kumuangushia jumba bovu tu Gomez! Zile penetration pass zote zimepita upande wa Robbo na Vvd
Hapana hapa umeamua kumuangushia jumba bovu tu Gomez! Zile penetration pass zote zimepita upande wa Robbo na Vvd
Gomez ni moja kati ya wachezaji waliocheza vizuri sana ile game... Angalia jinsi Auba na Niles walivyofichwa jana
Mkuu timu kushinda jana na tukiwa tunacheza tia maji tia maji February ndio ujue ubingwa unarudi Anfield....Timu yenu bado sana, tukiacha ushabiki...
Eneo la ulinzi linachuja vibaya mno, Lacazette kapata clear chance mbili akiwa yeye na Becker, boooom
Hii sio liver ya kusema haya uliyoyasema labda kiushabiki tu,
Hongera kwa ushindi, kila mtu ashinde kwake
Timu yenu bado sana, tukiacha ushabiki...
Eneo la ulinzi linachuja vibaya mno, Lacazette kapata clear chance mbili akiwa yeye na Becker, boooom
Hii sio liver ya kusema haya uliyoyasema labda kiushabiki tu,
Hongera kwa ushindi, kila mtu ashinde kwake
Labda kama hujaangalia mpira, ila nyie bado sąna,
VĄR