balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Vimeharisha usiku kucha.Vile vinyamkera vilivyokuwa vinasumbua hapa jamvini naona vimeenda kunya vilale
Vimeharisha usiku kucha.Vile vinyamkera vilivyokuwa vinasumbua hapa jamvini naona vimeenda kunya vilale
Tunawafuata Aston Villa kwao, then Everton kwao kisha Sheffield United wanatuletea msosi AnfieldDah! Msimu huu sina Full Fixtures yetu ya EPL, Next game tunacheza na nani?
Jana asenane kala kichapo Cha hajaLabda kama hujaangalia mpira, ila nyie bado sąna,
VĄR![]()
Game na Everton pekee ndo inanipa kuwaza maana itakuwa ngumu sanaTunawafuata Aston Villa kwao, then Everton kwao kisha Sheffield United wanatuletea msosi Anfield
Hakunaga mjerumani asiye na akili labda yule rudiger tu hahabahHahahaha Klopp kamtazama miaka 3 huyu dogo...
Wa kwanza kumuona alikua Pep Lijnders enzi hizo Jota yupo Porto 2014..
Hawajakurupuka kumnunua wamefanya homework ya kutosha..
YNWA
Nafurahi tu kuona watu mkiuziwa mbuzi kwenye gunia.hakuna la zaidiKwa hiyo wewe ukisajili ndio wachezaji ila wenzio wakisajili ni machezaji,
unaonekana unaumizwa timu zikisajili kama anavyoumia kocha wako vile![]()
Bwana wee jamaa wamekamilika pale kati kuna Allan ni HM wa nguvu mbele unakutana na Andre Gomez na James lol jamaa msimu huu bila majeruhi naona wakileta ushindani wa nguvu...Game na Everton pekee ndo inanipa kuwaza maana itakuwa ngumu sana
Klopp hata nusu ya maisha yake Anfied hajafika ndugu yaaani yupo sanaaaa tu...muwe munatupunguzia adhabu sisi kajamba nani, kwa mwenendo huu kuna baadhi ya timu hata golini hazitofika
huyu klopp mkataba wake unaishi lini ili aje gerrard?
View attachment 1584743
So,kwa sasa huniamini mkuu?..tatizo nini braza?


Game na Everton inanipa wasiwasi daaah ila tupoSana
HahahaaaaVimeharisha usiku kucha.
Halafu huyu robo atakuwa anatumia bangi hebu wamchunguze kidogo maana jamaa halijawahi kupumzika



Gerad mwenyewe wa motoKlopp hata nusu ya maisha yake Anfied hajafika ndugu yaaani yupo sanaaaa tu...
Steve bado sana kupewa mikoba..
YNWA
Moto wake kwanza hukooo mickey league huku EPL bado bado...Gerad mwenyewe wa moto