Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Salah na Mane kama wanataka kuanza ubinafsi wao hivi!

Yote kwa yote point 3 ni muhimu
 
Adjustments.jpg
 
Arsenal forward line yao inaonekana bora kulinganisha na back line yetu. Any mistake tutaadhibiwa. Gomez amerudi kuchukua nafasi yake, dhidi ya Leeds yeye na kaka mkuu vvd walifanya makosa ya kizembe na kuruhusu magoli mawili.

Auba, Laca na Willian ni moja ya combo ninayoigopa kwa sasa pale epl. Wote ni wafungaji wazuri. Kukosekana kwa Alcatraza hata kwenye bench ni pigo kwetu.
Mkuu Willian angekua mfungaji mzuri Chelsea isingemuacha. Angekua mfungaji mzuri Barca wasingesita sita wangepeleka offer moja moja Chelsea.

Anajitahidi lakini hajawahi kuwa bora walau hata kumfikia Daniel James
 
Tutapambana ndugu hamna namna..

Target ni EPL na UCL..

YNWA
Mkuu hongereni naona mapambano yanaendelea. Kuna mchambuzi alisema kama unaweza kupata points kwa big six una nafasi nzuri kuchukua ubingwa.

Mi nafurahi mmewapiga wapiga kelele na watukanaji majukwaa ya michezo. Vile vitoto vitaanza kujifunza kuwa na adabu sasa.
 
Nitoe hongera kwa kops wote kwa ushindi mnono dhidi ya Arsenal jana usiku. first half tulikuwa bora zaidi, tulipiga zaidi ya shoot 11, on target zikiwa 5. Robbo ana mapafu ya mbwa aisee, the way anavyopanda na kushuka😳😳 Sio mchezo.

TAA anavyomimina cross zinanikumbusha sana becks. Hawa ni level moja. Jamaa anamwaga maji balaa. Salah japo game mbili hizi ya jana na ya chelsea hakufunga ila anawajambisha kinoma. Kwa kifupi ile spirit ya last season naanza kuiona ikirudikwa kasi.

Nasononeka sana napomwona Minamino anapewa dk 3 uwanjani. Tutampima vp? Next ni ligi cup dhidi ya Arsenal alhamisi hii.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom