Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni liverkuku kwa maana awa mashabiki wa arse8 wataacha kudangadanga kwenye nyuzi za timu nyingine
 
Tulibezwa sana. Sasa ni haki yetu kubeza kwa kukera...

Eti ni timu gani inajiona kigogo ya Uingereza ambayo haijatwaa kombe la EPL tangu Kikwete akiwa Rais?
Kwa kuwa FA ilibadilishwa jina, Liverpool hajabeba Emirates cup
Liverpool hajabeba Carabao cup
Aston Villa hajabeba UCL
Nottingham Forest hajabeba UCL
Uruguay hajabeba World Cup
Real Madrid sio mshindi wa UCL mara 12
 
Kwa kuwa FA ilibadilishwa jina, Liverpool hajabeba Emirates cup
Liverpool hajabeba Carabao cup
Aston Villa hajabeba UCL
Nottingham Forest hajabeba UCL
Uruguay hajabeba World Cup
Unajua watu wengi wanafeli mitihani sio kwamba hawajui, ila hawajui kujibu swali....

Narudia swali: Ni timu gani Uingereza inayojiona Kigogo wa soka ambayo haijawahi kutwaa kombe la EPL tangu Kikwete akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Mkuu Willian angekua mfungaji mzuri Chelsea isingemuacha. Angekua mfungaji mzuri Barca wasingesita sita wangepeleka offer moja moja Chelsea.

Anajitahidi lakini hajawahi kuwa bora walau hata kumfikia Daniel James
Wachana na wazee wa magarasa hao
David Luiz, Willian, na kuna tetesi wanamtaka Bakayoko na Kepa
Wanataka kutuaminisha mabua ni matamu kuliko miwa
 
Timu inayonipa pressure EPL ni wale watoto wa Sheffield na Wolves.
Hizi timu hazina majina lakini wanatandaza soka la kuaminika na wako vizuri mnooo
 
Wachana na wazee wa magarasa hao
David Luiz, Willian, na kuna tetesi wanamtaka Bakayoko na Kepa
Wanataka kutuaminisha mabua ni matamu kuliko miwa
Sasa ukiwakuta wenyewe wanavyo msifia unaweza hisi ni bonge la mchezaji callibre ya kina Sancho, Sterling au Bernado Silva.
 
Unajua watu wengi wanafeli mitihani sio kwamba hawajui, ila hawajui kujibu swali....

Narudia swali: Ni timu gani Uingereza inayojiona Kigogo wa soka ambayo haijawahi kutwaa kombe la EPL tangu Kikwete akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Blackburn Rovers
 
Daaaah tunakabia juu sana, counter attack tusipokuwa vizuri laccazete kakosa two chance ambazo striker mzuri zote goli.

Ile Chance ya pili ya wazi kabisa aliyokosa haikuwa Kaunta Kwani walikuwa kasimama kabisa na Mabeki akawatoka kizembe kabisa.
Tatizo nililo liona ni kwamba Gomez hajui kabisa kukaba Zonal Marking wakati maadui wanapokuwa na Mpira ndiyomana Lacca alikuwa anachomoka kwenye Defence kiurahisi tu. He's good in Man Marking and Tackle.
 
1601356092843.png
 
Mkuu hongereni naona mapambano yanaendelea. Kuna mchambuzi alisema kama unaweza kupata points kwa big six una nafasi nzuri kuchukua ubingwa.

Mi nafurahi mmewapiga wapiga kelele na watukanaji majukwaa ya michezo. Vile vitoto vitaanza kujifunza kuwa na adabu sasa.
Klopp boys has matured how to squeeze any opponent and get the deserved points when its matters...

Arsenal bado sana wanahitaji muda wa kujenga kikosi aafu ndio waanze mipango ya kuusaka ubingwa kwa sasa target yao iwe big 4..

Wakimpata Housem ama Partey watakua wanazidi kujiimarisha na kuleta ushindani mkali EPL...

Wenzio tunasonga mbele..

Wiki hii tunao tena Carabao hivyo burudani inaedelea..

YNWA
 
Kwanini Jota ameingia kama Sub ya Mane na kwa muda wote kacheza Wing ya kushoto aliyokuwa anacheza Mane ingawa ni Striker?

Hili limenipa wasiwasi na kunipa fikra zifuatazo:-

√ Dalili ya Kuuzwa Mane: Imenipa hisia kuwa Huenda next season Mane akauzwa Barca au Real na hii pengine ni makubaliano na Timu/Klopp kipindi anasaini Mkataba alionao Kwani kulikuwa na mvutano wakati wa kusaini huu Mkataba.
Hivyo huenda Jota kasainiwa kimkakati na kuanza kupewa majukumu ya Mane kwa kubadilishwa from Striker to Winger.

√ Huenda Klopp ana mpango wa Kununua New Striker next summer/Winter: Kitendo cha Jota kuto kumchezesha Striker ni dalili kuwa Klopp ana mpango kabambe wa kununua Striker.

√ Minamino ndiye Striker anayeandaliwa: Pia Jota kutokuchezeshwa Striker huenda Klopp ana imani na Minamino kuwa ndiye his new Centre Forward.

MWISHO:
Hayo yote ni mawazo yangu na sio lazima yawe sahihi.
 
Can we stop keeping the high line please?? Somebody tell klopp
Nope doc that the only way our dynamic full backs can be a thorn in the opposition box..

When you see Robbo sending those dangerous last passes or crosses its because they are near the opposition 18 area most the time..

Also we do lack a real AM wizard as you have our main threat comes from TAA and Robbo...

With most teams now sitting and wait for us there is no way to avoid the high line..

Yesterday Arsenal went for 3 4 3 precisely to stop the balls reaching the front 3..

Unless Klopp do a surprise signing to bring in a real AM i guess the highline is here to stay..

Kudos to Allison he stepped up when its mattered most..

YNWA
 
Kwanini Jota ameingia kama Sub ya Mane na kwa muda wote kacheza Wing ya kushoto aliyokuwa anacheza Mane ingawa ni Striker?

Hili limenipa wasiwasi na kunipa fikra zifuatazo:-

√ Dalili ya Kuuzwa Mane: Imenipa hisia kuwa Huenda next season Mane akauzwa Barca au Real na hii pengine ni makubaliano na Timu/Klopp kipindi anasaini Mkataba alionao Kwani kulikuwa na mvutano wakati wa kusaini huu Mkataba.
Hivyo huenda Jota kasainiwa kimkakati na kuanza kupewa majukumu ya Mane kwa kubadilishwa from Striker to Winger.

√ Huenda Klopp ana mpango wa Kununua New Striker next summer/Winter: Kitendo cha Jota kuto kumchezesha Striker ni dalili kuwa Klopp ana mpango kabambe wa kununua Striker.

√ Minamino ndiye Striker anayeandaliwa: Pia Jota kutokuchezeshwa Striker huenda Klopp ana imani na Minamino kuwa ndiye his new Centre Forward.

MWISHO:
Hayo yote ni mawazo yangu na sio lazima yawe sahihi.
Mtihani uliopo ni je Real Madrid watamudu kutoa £91m kwa Mbappe na £80m+ kwa Mane..

Usije shangaa lengo lao bila covid ilikua Mane atue dirisha hili..

Kuhusu Jota kale kadogo ni noma pale mbele hua kanacheza popote LW, RW or CS..

Mawazo yako ni sahihi kabisa ni muhimu kukumbuka hawa front 3 wetu umri unasonga mbele ni hii intensity play ya Klopp lazima iwachoshe hivyo pia kua na like for like sub ni muhimu sana..

Taki naona akiwa false 9 mpya in the near future...

Taki na Jota offensive ni balaa hivyo tutegemee Klopp aliwanunua kuja kufanya supplements ama support ya muda mrefu kwa our 1st choice front 3s..

Yajayo yanafurahisha mno...

YNWA
 
Ile Chance ya pili ya wazi kabisa aliyokosa haikuwa Kaunta Kwani walikuwa kasimama kabisa na Mabeki akawatoka kizembe kabisa.
Tatizo nililo liona ni kwamba Gomez hajui kabisa kukaba Zonal Marking wakati maadui wanapokuwa na Mpira ndiyomana Lacca alikuwa anachomoka kwenye Defence kiurahisi tu. He's good in Man Marking and Tackle.
Hapana hapa umeamua kumuangushia jumba bovu tu Gomez! Zile penetration pass zote zimepita upande wa Robbo na Vvd

Gomez ni moja kati ya watu waliocheza vizuri sana ile game... Angalia jinsi Auba na Niles walivyofichwa jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom