Mbona na wewe matako unakurupuka? Umeelewa lakini nilikuwa namaanisha nini? Wacha ujinga wa nyanyako wewe! Hukuona jamaa alisema Fernandinho katupia? Kwa vile tulkuwa tunajibizana na huyo jamaa mimi nikafikiri kafunga kwake, wacha upumbavu mkuu!
Mbna una lugha kali mno ndugu yangu


Shida nini haswa kunitukania mzee wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7464.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ha ha ha haaaa, anisamehe kwa bure! Ila naye aache kuambia watu eti wajinga! Unajua mjinga mkuu hafundishiki? Bora mimi niliyemwambia mpumbavu maana wa hivyo ni kiasi cha kumwelewesha tu! Pole sana mkuu ingawa timu yako huku kama inacheza chandimu!
mjinga anafundisha, mpumbavu hafundishiki.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carra on... Jordan Henderson

Jordan Henderson is vital for Jurgen Klopp's side, says Carragher
Jordan Henderson is vital for Jurgen Klopp's side, says Carragher
"He's been vital. A lot of the time he has been questioned under Jurgen Klopp, should he get a regular game? Should he be captain? But all of these top managers keep picking him out.

"I've worked with him, so I'm well aware of Jordan's qualities and what he's like around the dressing room. For a manager, having him around the dressing room is gold dust🙄🙄, with the example he sets every day.

"Liverpool have bought a lot of players under Jurgen Klopp in his position, and he still plays. That just says it all about him."

YNWA
 
AFCON janga lijalo 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

Liverpool manager Jurgen Klopp says moving the Africa Cup of Nations back to January "is, for us, a catastrophe."

The 2021 tournament has been moved from the summer because of "unfavourable" weather in host country Cameroon.

And the Reds face losing Senegal forward Sadio Mane, Egypt winger Mohamed Salah and Guinea midfielder Naby Keita for a month in mid-season.

Hapa sijui tutaboa vipi bila Mane na Salah....

YNWA
 
sxovpunknslgxaby25e20acd5b0514.jpg


ylodidm29zubkx5e20acf499f24.jpg




Liverpool and Brazil teammates Roberto
Firmino and Alisson Becker broke down in tears as the goalkeeper helped the forward in a Christian baptism.

Roberto Firmino amebatizwa upya rasmi wiki hii sasa Manchester United wajiadae kupokea kipigo atakua moto sana...

YNWA
 
Back
Top Bottom