Ha ha ha haaaa, anisamehe kwa bure! Ila naye aache kuambia watu eti wajinga! Unajua mjinga mkuu hafundishiki? Bora mimi niliyemwambia mpumbavu maana wa hivyo ni kiasi cha kumwelewesha tu! Pole sana mkuu ingawa timu yako huku kama inacheza chandimu!Aise Asprin mutu mzito mutake tadhi bana...mzee wa boma uyu Ohoo[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
None of your business my friend you better keep quite!
Mkuu umekurupuka kurukia hiyo agenda, ungefuatilia ilikotokea wala usinge-comment! Pole!!!Jaribu kuishi kwa jinsi uliowakuta wanavyoishi.
Mkuu umekurupuka kurukia hiyo agenda, ungefuatilia ilikotokea wala usinge-comment! Pole!!!
Ci unamjua Rashid lakini? Kesho Allison atachezea kichapo apo ..cha Atari...hahaha nakutisha bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Awa Nu Casto tuna walia time Dakika ya sabini tu apo Tammy atanitikisia nyavu..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Newcastle tayari wapo saiti huko....na congodustWewe Arsenal yako imekushinda mkuu..
Karibu Chelsea darajani ufaidi ujana wako..
[emoji170][emoji170]#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekomaa huku wakati kule kwenu darajani kuna msiba? Hebu nenda msibani wewe!Ci unamjua Rashid lakini? Kesho Allison atachezea kichapo apo ..cha Atari...hahaha nakutisha bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende na Man u sasa ...
Wangap tuko Man u tujuane apa[emoji3][emoji3][emoji3]
We are United, United 3 - Liverpool 1
Come one United[emoji123][emoji123][emoji123]
Kila la kheri Liverpool[emoji173][emoji173]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Newcastle tayari wapo saiti huko....na congodustView attachment 1327082
Sent using Jamii Forums mobile app
We are winning it by marchLiverpool need 11 more wins to officially be crowned champions (provided City don’t drop more points). Liverpool play Man City away in their 11th Premier League game from today.
Mzee Mahitaji pwenti 94 nitangaze ubingwa.
Twende na Newcastle UnitedTwende na Man u sasa ...
Wangap tuko Man u tujuane apa[emoji3][emoji3][emoji3]
We are United, United 3 - Liverpool 1
Come one United[emoji123][emoji123][emoji123]
Kila la kheri Liverpool[emoji173][emoji173]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea imefungwa ngapi leo kijanaApa amuna kitu apa ..aaa msimu ujao mutajuta kuwajua..[emoji3][emoji3]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app