Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wangap kesho wana amini Rashid na Lingard watamfunga Allison...

Tujuane mapema...

Kesho ni Siku ya rashid kushine..

Come on Rashid ..piga mbuzi hawa[emoji3][emoji3]

NB: hii itatokea endapo Liverpool hawatocheza kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, wewe jamaa kibarua chenu leo kigumu pia.
 
Allison ametwaa tuzo ya mchezaji bora Brazil 2019

VVD ametwaa tuzo ya mchezaji bora EPL, mchezaji bora Holland,mchezaji bora ulaya

Robertson ametwaa tuzo ya mchezaji bora Scotland 2019

Hendo ametwaa tuzo ya mchezaji bora England 2019

Mane ametwaa tuzo ya mchezaji bora Senegal, mchezaji bora Afrika

Salah ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa nchi za kiarabu, mchezaji bora wa club world cup, mchezaji bora Misri.

NB: Watu wakija hapa kupost HATES muwe mnawaelewa. Wanateseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani bila var wangeweza kutwaa izo tuzo[emoji3][emoji3][emoji3]

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga basi....
Mbona na wewe matako unakurupuka? Umeelewa lakini nilikuwa namaanisha nini? Wacha ujinga wa nyanyako wewe! Hukuona jamaa alisema Fernandinho katupia? Kwa vile tulkuwa tunajibizana na huyo jamaa mimi nikafikiri kafunga kwake, wacha upumbavu mkuu!
 
You are so disrespectful.

And disgusting as well.
 
Screenshot_20200118-213914.png

Rhian Brewster
 
Hii Liverpool mpka Dakika ya mwisho nitahakikisha haibebi kombe...

Yani jino kwa jino hauna kubeba EPL, mpaka mufikishe 50 iyaz kama sisi Chelsea..

Kila la kheri man u[emoji123][emoji123][emoji123]

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
Utahakikisha? seriously?
 
Mbona na wewe matako unakurupuka? Umeelewa lakini nilikuwa namaanisha nini? Wacha ujinga wa nyanyako wewe! Hukuona jamaa alisema Fernandinho katupia? Kwa vile tulkuwa tunajibizana na huyo jamaa mimi nikafikiri kafunga kwake, wacha upumbavu mkuu!
Aise Asprin mutu mzito mutake tadhi bana...mzee wa boma uyu Ohoo[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom