Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahahaha ndugu yangu kwanza washushe Leicester na Manchester City walipo aafu ndio uwawazie wakali Majogoo...Leo sisi Man united tunashinda ivyo punguza point tatu za leo apo..
Ukidraw gemu kama nne ivi zinazokuja maana sisi Chelsea lazima tuwapige huwa atupigwagi Mara mbili ..ivyo pig esabu tena upya apo..
Kwa araka araka tunaakikisha mutapoteza kwa City, Chelsea na Leo man u, mutadraw na Arsenal Everton Spurs lazima muchezee kichapo hahaha ubingwa mapemaaa munasahau...
Huu mkakati lazima ufanikiwe...
Mpka Dakika ya mwisho nutahakikisha amubebi ubingwa..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili wewe uwe bingwa lazima nifungwe mechi 7 na sare moja...
Kwa Liverpool hii ndugu Oc unadhani una chako hapa...
Tunakukaribisha kujifariji humu kwa kua timu yako yenyewe haieleweki...
Kwa hao uliowataja Spurs kashachezea na Leo Manchester United nao wanakaa...
Mtulie mwaka ni wetu, ushindi ni wetu..
La 19 tamuuuu linakuja home...
YNWA





